GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Kama Hiki Nilichokisikia Muda Si Mrefu Kutoka Kwa Mwanaharakati Ndugu RENATUS MKINGA Alipokuwa " LIVE " Asubuhi Hii Ya Leo STAR Tv Kweli KILITOKEA Naomba Leo Niwe MTANZANIA Wa Kwanza Kusema au Kumwomba Rais Dr. MAGUFULI Afanye Kila Aliwezalo Kuwe Na Kifungu MAALUM Cha KISHERIA Cha Mtu Yoyote Awe Ni Mtanzania au Si Mtanzania AKITHIBITIKA Tu Kuwa KAHUJUMU UCHUMI Wetu Kwa Namna Yoyote Ile Basi Hakuna Haja Ya Kuwa Na MLOLONGO Mrefu Wa MASHTAKA Na Badala Yake Moja Kwa Moja Mtu Huyo au Watu Hao WANYONGWE HADHARANI Kama Wafanyavyo Nchini CHINA Na KOREA KASKAZINI.
Inasemekana Kwamba Kumbe Juzi Hapo BANDARINI ( TPA ) Kuna MELI Ilikuja Kimya Kimya Usiku Na Kuanza Kupakia Makontena Tena Huku Ikiwa Imezimwa Taa Zake Zote Na Walipomaliza Tu Kuyapakia Hayo Makontena Nahodha Wake Akaamuriwa Kuwa Wakati Anaiondoa Pale Asiwashe Taa Zote Za Ile Meli Nae Akakubali Na Wakati Inaondoka Huo Usiku Ilipokaribia Tu Hapa Ambapo Tunavuka Kwenda KIGAMBONI Hiyo Meli Ikakigonga Kivuko ( Haijulikani Ni Kipi ) Kisha Ilipofika Maeneo Mbele Kidogo Ndipo Taa Zake Zikawashwa Na Ikaondoka Isipojulikana.
Nikiwa Kama MTANZANIA Nimezipokea Taarifa Hizi Za KIFISADI Na Za KUHUJUMU Uchumi Wetu Kwa Masikitiko Makubwa Sana. Ushauri KUNTU Ninaotaka Kuutoa Kwa Rais Wangu Na Msaidizi Wake Waziri Mkuu Ni Kwamba Achilia Mbali Tu Kuweka Hiyo Sheria Ya KUWANYONGA Hawa Watu ( WAHUSIKA ) Ila Ipo Haja Ya Kufanya MABADILIKO Makubwa Mno Ya Kiutendaji Ktk Haya MAENEO MAKUBWA Ya BANDARI ( TPA ) Na MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA ( TRA ) Kwani Imegundulika Kuwa 75% Ya UFISADI Na UHUJUMU Uchumi Wa Nchi Hii Unatokea Hapo. Kama Kuna Uwezekano Watendaji Na Wafanyakazi Wote Wa Hizi Sekta Kuu Mbili Wabadilishwe Na Kufanyike UTARATIBU Mpya Wa Kuajiri Watanzania WAZALENDO Na Wenye Kuendana Na Kasi Ya UONGOZI Wa SERIKALI Hii Ya AWAMU Ya TANO.
Na Nilichokigundua Ni Kwamba Japokuwa Rais Pamoja Na Waziri Mkuu Wake WANAPAMBANA Sana Ila Kwa Upande Mmoja au Mwingine WANAHUJUMIWA Hasa KIUTENDAJI. Na Labda Nitoe Tu RAI Yangu Kwa Watanzania Wenzangu Bila Kujali ITIKADI Zetu Za Vyama Hebu TUJITOKEZE KWA PAMOJA Ktk KUMSAIDIA Rais Wetu Ktk KUPAMBANA Na Huu UFISADI Na UHUJUMU UCHUMI Unaofanyika Na Rais Wangu Dr. MAGUFULI Siyo Dhambi Kuziiga Nchi Kama Rwanda, China Na Korea Ya Kaskazini Ktk Ile SHERIA Ya KUWANYONGA HADHARANI WAHUJUMU UCHUMI Wote. Mwaka Jana Tu Nikupe Mfano Huyo Kiongozi ( Rais ) Wa Korea Ya Kaskazini Aliamuru KAKA YAKE WA TUMBO MOJA ( TOKA NITOKE ) Anyongwe HADHARANI Na Ilifanyika Hivyo Ambapo ALIPIGWA RISASI Na Safari Yake Ikaishia Hapo Kwa Kosa La Kula Rushwa.
Tumechoka Sasa TANZANIA Yetu Kufanywa SHAMBA LA BIBI Kila Siku Na Naomba Hapa Niseme UKWELI Japo Najua Kuna Watakaoumia ILA Sijali Kwani NAIPIGANIA Nchi Yangu Ni Kwamba Kumbe 75% Hao MAFISADI WOTE Wanaohusishwa Na Masuala Mazima Ya UHUJUMU UCHUMI HUU Kuanzia Huko TPA Na TRA Ni Wana CCM Nasisitiza Kuwa Ni Wana CHAMA CHA MAPINDUZI Tena Wale WALIOTUKUKA Na Sina UHAKIKA Kama Ktk UPUUZI Huu Wa UFISADI Kuna Watu Wa UKAWA Na Kama Wapo Basi Najua Watakuwa Ni 3% Tu ILA KANSA Hii Mheshimiwa Rais IPO NDANI YA CHAMA CHETU Cha CCM Na Hii MIJIZI Inajulikana Huku Mingine Ikiwa Imeshinda Tena UBUNGE Na Ni Hao Hao Sasa WAMENUNA Na UTENDAJI Wako Mzuri Ulioanza Nao Hivyo Nakuomba UTUNYONGEE HII MIJIZI Kwani TUMECHOKA Kuona WATANZANIA Kila Kukicha Ni MASIKINI Tu Wakati Kuna MIJITU Inakunywa Chai Dubai, Kula Lunch Paris Na Inakwenda Kulala Washington.
Nimemaliza Rasmi Kutema NYONGO Yangu.