Kwa kampeni za CHADEMA Ukonga, nazidi kuelewa sababu za Waitara kuamua kuikacha

Ufunguzi wa kampeni Jimbo la Ukonga uliofanywa na Chadema juzi siku ya tarehe 24 umezidi kuniongezea sababu za kuzidi kumuelewa Mwita Waitara ambaye alikua Mbunge wa Jimbo hilo kupitia chama hicho kuhamia CCM.

Wazungumzaji wote wa Chadema waliopanda jukwaani waliacha kuzungumzia masuala yanayowagusa wanaUkonga moja kwa moja badala yale walikua wanamshambulia Mwita Waitara kwa matusi na maisha yake binafsi.
Wapo waliosema Mwita ameliabisha kabila la Wakurya ,wapo waliosema Mwita ni msaliti na hata waliosema eti Mwita hajatahiriwa.

Maneno hayo waliyotamka juzi hayana mchango wala maana katika utatuzi wa changamoto mbalimbali za Ukonga.Nayaita maneno ya wakosaji

Nazidi kuelewa kwa nini Mwita alihama kwa sababu kuwemo katika chama aina ya Chadema ni kupoteza muda.
Imekosa watu weledi , imejaza wapiga porojo .Matokeo yake ni chama hicho kuyumba kiasi cha kukosa hata hoja moja ya maana ya kuongea pale Ukonga.
Wao wanadhani wakimtukana Waitara ndio wananchi watawachgaua , wanakosea sana.

Hakika Chadema imepwaya na na kwa mwendo ule wa juzi wahesabu maumivu mapema September 16.

Augustino Chiwinga.
0658438889
Hao ndio chadema mkuu. Ilikuwa huwajui? Ndio uwajue sasa. Huwa hawan hoja bali kurukia hoja za wengine. Ni wpumbvu na malofa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwita hakuhama chadema bali alinunuliwa mithili ya samaki Changu pale feri , na baada ya kujiuza akaahidi kuipasua chadema vipande vipande , sasa vumilieni hii vita maana mimi NITAPANDA JUKWAANI WIKI IJAYO , msitafute mchawi .
 
Matokeo tunayajua kwa hiyo chadema iko pale kutoa tu ujumbe kwani kura zinapigwa na policcm na NECCCM na TRACCM na DEDCCM. Unadhani hawajui na wapiga kura hawajui? Hakuna cha ushindi ni kupokonya!
 
Ufunguzi wa kampeni Jimbo la Ukonga uliofanywa na Chadema juzi siku ya tarehe 24 umezidi kuniongezea sababu za kuzidi kumuelewa Mwita Waitara ambaye alikua Mbunge wa Jimbo hilo kupitia chama hicho kuhamia CCM.

Wazungumzaji wote wa Chadema waliopanda jukwaani waliacha kuzungumzia masuala yanayowagusa wanaUkonga moja kwa moja badala yale walikua wanamshambulia Mwita Waitara kwa matusi na maisha yake binafsi.
Wapo waliosema Mwita ameliabisha kabila la Wakurya ,wapo waliosema Mwita ni msaliti na hata waliosema eti Mwita hajatahiriwa.

Maneno hayo waliyotamka juzi hayana mchango wala maana katika utatuzi wa changamoto mbalimbali za Ukonga.Nayaita maneno ya wakosaji

Nazidi kuelewa kwa nini Mwita alihama kwa sababu kuwemo katika chama aina ya Chadema ni kupoteza muda.
Imekosa watu weledi , imejaza wapiga porojo .Matokeo yake ni chama hicho kuyumba kiasi cha kukosa hata hoja moja ya maana ya kuongea pale Ukonga.
Wao wanadhani wakimtukana Waitara ndio wananchi watawachgaua , wanakosea sana.

Hakika Chadema imepwaya na na kwa mwendo ule wa juzi wahesabu maumivu mapema September 16.

Augustino Chiwinga.
0658438889
Mbunge ni mwakilishi wa kuwasemea wananchi na siyo mtendaji au mtatua kero, tatizo vijana wengi kama wewe hata elimu ya uraia hamna mnazani mbunge ndo mwondoa kero za maji, umeme, Barbara, shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za Tanzania hazipo kwenye misingi ya hoja na mijadala bali kwenye kuchafuana na kuvunjiana heshima!!!,,,

Bado wanasiasa wetu wana uelewa mdogo sana na demokrasia inayopiganiwa.....

Wanasiasa wetu wanaamini demokrasia ni kukuabiliana na maoni yake tu....Hakuna aliye tayari au kuvumilia kisichopendeza masikioni mwake!!....isipokuwa tu wengine wanatumia mitutu ya bunduki na wengine wanatumia matusi na kejeli dhidi ya wale wanaoenda kinyume na utashi wao!!....

Suala la Mwita kuhama chama ni uamuzi wake binafsi iwe kwa kuhongwa au kwa namna yoyote ile.....lakini ni jambo la kisiasa ambalo kingefaa malumbano yake yawe kisiasa na sio matusi ya nguoni!!!,,,,

Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kubadilika na kubadillisha mitazamo yao.....

Demokrasia sio tu kusikia kinachokupendeza bali hata vile vinavyokinzana na wewe......

Kama ambavyo wewe ungependa kuona maoni yako yakiheshimika basi na wewe huna budi kumheshimu maoni ya wenzako!!!!....
 
Kwa hali ilivyo hata kama ningekua mimi nimepewa kipaza sauti ningeanza kumtukana. Mwanaume mzima na akili yako unahama chama eti kisa ndan ya chama hakuna demokrasia! je akiulizwa huko alikohamia kuna demokrasia?
 
Hao ndio chadema mkuu. Ilikuwa huwajui? Ndio uwajue sasa. Huwa hawan hoja bali kurukia hoja za wengine. Ni wpumbvu na malofa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya atawafanyia nini wananchi bado ni Ile Ile kuleta maendeleo isipokuwa kawaacha njiani wananchi waliomwamini. Hoja kwa sasa ni rushwa iliyomfanya kujiuzulu na bado kutaka kugombea. Ni kujidhalilisha
 
Back
Top Bottom