Kwa kaka zetu na mashemeji, Je ukikutana na hili utafanyaje?Jifunzeni kama hujawai kukutana na haya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kaka zetu na mashemeji, Je ukikutana na hili utafanyaje?Jifunzeni kama hujawai kukutana na haya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Aisha Adam, Jun 15, 2011.

 1. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hbr za mchana wapendwa!

  Jana ktk story na wafanyakazi wenzagu tulipewa story ifuatayo na mkaka mmoja:
  Ni mfanya kazi mwenzetu ila alikuwa na katabia ka kutembea nje ya ndoa yake miezi kadhaa iliyopita na sasa kabadilika hatuwaoni tena wale mabint aliokuwa anawachanganya ikabidi tumuulize mbona kabadilika, bwana weee! ndo akapata kutujuza yaliyompata kama ifuatavyo;

  Kuna siku alikutana na mdada akamtamani akawa na hamu ya kudo nae ndo akamfata na yule dada akamkubalia, wakaenda wote guest ulipofika wakati wa majambozi wakavua nguo zao wakabaki uchi wa mnyama, yule kaka akashangaa kumuona dada aliyekuwa na ka face kazuri kuona mwili wake wote anamabakamabaka kama ya chui na kitu yake ilikuwa imesimama ghafla ikasinyaa na hamu ikaisha akaona atafute jinsi ya kumkimbia yule mdada ikabidi ajifanye anapokea simu ya bosi ghafla akamwambia yule mdada kuwa anaitwa ofisin haraka sana akamwacha yule dada akamwambia kuwa anarudi mda si mrefu, toka siku hiyo anasema aliogopa na hajawai kutembea tena nje ya ndoa yake.
  Haikuishia hapo akatupa na nyingine aliyosimuliwa na mwenzake kuwa yeye huyu mwenzake aaliwahi kumchukua binti akaenda nae kwake alikuwa hajaoa kumbe huyu dada alikuwa anaumwa kifafa kama kawaida huyu kaka hakujua yeye yaliyomkuta ni kama ifuatavyo;
  yeye huyu yalimkuta kwenye game katikati si ugonjwa wake ukamkamata huku wapo kwenye game.Alivyomaliza kutusimulia akasema toka siku hiyo hajawai na hategemei kutembea nje ya ndoa yake na anamuomba mungu amuongoze ktk hilo.

  Mi namalizia nikisema hivi mwenzako akinyolewa na zako tia maji
   
 2. charger

  charger JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe strikers kuna kunavitu wanaviogopa eeh,huo ndio mpango wa kukokota milupo.Kuna moja nilisha isikia jamaa kaokota mlupo sasa baada ya kuvua tu weweee atmosphere ikakata ushirikiano unajua ile ukisahau nyama kwenye freezer halafu umeme ukakatika.Jamaa bunduki alikua amesha i load na kukoki mbona ilisinyaa na kua kama kipele lol!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mbona hizo za kawaida tu,kila chenye sura hakikosi kisogo,.......ukifanya biashara ni lazima upate hasara,na hasara haiwezi kufanya uaiche hiyo biashara.
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Labda yalikuwa madowa ya pepo punda! sijui kama ndio huo ugonjwa ila kuna ugonjwa ambao unatoa vipere mwili hata wanapata watoto na mtu akiupata akiwa mtu mzima basi madoa hayaishi kabisa ila uwa yanakuwepo hadi usoni
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  tanga mimi nilikuta bonge la sista duh
  kufika ndani kajifunga hirizi moja kiunoni
  nyingine mkononi
  siwaambii iliishaje hii
  but nikiendaga tanga,sitongozi ng'o lol
   
 6. M

  Mdimu New Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si tanga tu..wapo weng sana wenye hirizi
   
 7. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna demu ana save bar moja kanizimia na mimi nimemzimia,nimeomba kutoka naye tuka do lakini ananizungusha na kusema nitamtangaza. Baada ya kupeleleza kijana wa kiume counter akaniambia kuna jamaa mmoja alitoka naye halafu akaja msimulia kuwa huyo demu ana nyeti zote mbili, ya kike na ya kiume lakini ambayo iko active ni ya kike, sijakata tamaa nataka nikashuhudie mwenyewe.
   
 8. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wazee Tanga mnatusingizia hakuna hirizi watoto wanajua raha wale labda huyo alitokea sumbawanga huyo
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Hizo zipo mwana! tena wengine wanakuwa wanawake lakini nyeti yenye nguvu ni ya kiume kwahiyo anakuwa na wake za watu kama shoga kumbe anawala mambo

  Ila ki-biologia nadhani wote wanazo nyeti mbili ila yakiume uwa inajificha ndani ya ile kitu ambayo wengine uikata na hivyo kuikata nyeti hiyo!
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  duh ndio hakome na bado sio kila unayeona barabara ni rikizi wenyene balaa tu
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  waja leo wandoka leo
   
Loading...