Kwa JK,wezi ni watumishi wadilifu,waminifu na majembe.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Waliopewa pesa in good faith wanaapa hadharani na kusema wao ndio majembe wa JK. Wezi na washauri wabovu,wanasifiwa na kikwete kwa utumishi uliotukuka,wamefanya kazi ka uaminifu na uadilifu. Shame on this.
Nchi hii ni kama haina rais kabisa. Kazi ya rais ni kusifiwa wezi,kwa Lowasa hivyo hivyo. Kikwete hana uwezo kuongoza,hilo halina ubishi kabisa. Tuliingia cha kike kumfanya huyu jamaa kushika ofisi kubwa kuliko zote nchini. Sijui ni sifa gani zilitumiwa kumpata mtu huyu.
 
Back
Top Bottom