Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Kutoka upinzani wa kutetea wananchi kiasi cha kutaja mafisadi hadharani ili kulinda maslahi ya watanzania, hadi kuwa wapinzani wa kutetea mafisadi na wauza madawa ya kulevya kiasi cha kutaka kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ili kulinda maslahi ya mafisadi:, inauma sana.