Kwa jinsi ujuavyo mabinti wa kibongo!

umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! Kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??na ujuavyo hawa mabinti??

sitoi figo.
 
Naona wengi mnasema hampo tayari kutoa figo je wapenzi wenu mlio nao mpo nao kwa mapenzi yapi??kama anaumwa na hauko tayari kumsaidia sasa kuwa na mpenzi ya kazi gani??Kawaida mnapokuwa wapenzi kuna matarajio mengi sana kila upande na hasa wadada wanakuwa namatarajio makubwa sana na wanajitoa sana kwa wanaume na wanakuwa namatuamini makubwa sana kama mtoto anavyo mwamini babayake kuwa hakuna mtu au kitu chochote kinaweza kumzidi babayake!!Na wadada huwa hivyo na mara nyingi utegemea sisi kuwa na mawazo yakuwaongoza wao na kuwapa ushauri juu yanini wakifanye! na kutamani kuwa kwenye mahusiano yenye kuwa namwisho wakuwa mke na mume!Na waliobahatika kuwa kwenye mapenzi motomoto ya mda mrefu na baadae wakabadilisha status zao na kuwa Mr and MRS wamekuwa na raha sana katika ndoa zao Ila mara nyingi matatizo uja hapo baadae kwa mwanaume kuona kuwa sasa hapa ninamiliki mke hivyo kuona anaouwezo wa kuongeza mpenzi wa wizi na baadae kuwa na mfarakano kwenye ndoa na mwisho kuumizana kwenye nyoyo! na ndoa kuvunjia ila mara nyingi vyanzo ni wanaume!Hivyo naona kushindwa kumsaidia mpenzi wako inamaana huyo hukuwanaye kwa dhati nimapenzi yakutaka kukidhiana haja!basi!!!
 
We we utatoa. Figo zip kibao Siku hz kaka
 
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??

Mm binafsi sitoi maana sina pisto nitamwuaje atakapo nipiga chini? U4 saro ni wengi ww!
Napita tu mwana mwenyewe mgeni hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??
Miezi sita bado haijanishawishi kutoa figo yangu akipeperuka unakufa ukiwa umesimama siyo watu wema kabisa hawa,mke wangu tu ndo nitatoa si vingnevyo
 
Daudi1. Mapenzi huwezi kupima kwa muda. Haya kama ni wewe ungeweza kufanya hivyo mkiwa na muda gani ktk mahusiano? Maana umesema miezi 6 huwezi shawishika kutoa figo?
 
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??

siwezi kudonate figo yangu kwa mwanamke based on the name of love , utapeli tu na longo longo mingi.
 
Daudi1. Mapenzi huwezi kupima kwa muda. Haya kama ni wewe ungeweza kufanya hivyo mkiwa na muda gani ktk mahusiano? Maana umesema miezi 6 huwezi shawishika kutoa figo?
Kwa wife tu ndo nitatoa mkuu maana hawachelewi kusema nilikuwa naye tu ila simpendi wakati anajua tayari ameshakufuja vya kutosha,cha msing kama utaamua kujitolea tu sawa lakini si kwa sababu ya mapenzi ndo utoe maana hayana guarantee
 
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??

Kutoa ni moyo!
Mpe figo hiyo!
 
Sijui imani yako ya dini inasemaje...ila ya kwangu inasema ni thawabu kubwa kumsaidia yule usiyetaraji malipo/fadhila kutoka kwake.

Na ukishajiuliza maswali mengi kiasi hicho....sidhani kama unao moyo tena wa kumsaidia.

Fanya uamuzi mmoja......mpe figo kama unakidhi vigezo...na ningependa kama itatokea msioane...

Ili yeye asilazimike kuishi maisha ya kulipa fadhila muda wote wa maisha yenu ya ndoa......

Na kama ambavyo umeshaonyesha hofu kuwa anaweza akasepa baada ya hiyo fadhila yako...Sasa je...yeye ndio awe mtumwa kwako hata kama hutokuwa mwanandoa muaminifu, mstaarabu, mcha Mungu n.k. kwake ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom