Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,882
2,000
Magereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa
kuna jamaa angu alikuwa anakula mke wa magereza. nikamuonya wale watu ni hatari kuliko JW
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom