Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.

Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.

Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.

Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
uko wapi mmkuu weekend hii upewe kinywaji na bill iletwe kwangu
 
Nimempa Sindano ambayo inamtibu tu.
Tatizo lako unapenda kujikweza na kujigamba wakati hata ile hali ya kuvumiliwa kukosolewa huna.Kila unapomjibu aliyekukosoa unaishia kutukana.Huko shule unakojitapa kwamba ulisoma ,ulisomea matusi? Badilika kwa sababu matusi hayajawahi kumsaidia yeyote.
 
Michezo ni ile ile..picha linaendelea...

Sabaya anasafishwa hapo mdogo mdogo

Mama ana element flani naye..ila

Mda utaongea!
 
Tatizo lako unapenda kujikweza na kujigamba wakati hata ile hali ya kuvumiliwa kukosolewa huna.Kila unapomjibu aliyekukosoa unaishia kutukana.Huko shule unakojitapa kwamba ulisoma ,ulisomea matusi? Badilika kwa sababu matusi hayajawahi kumsaidia yeyote.
Fanya yako acha Kunipotezea muda Ok?
 
Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.
inaonekana una mimba ya hao watu si kwa kuwaota hivyo kila siku
 
mimi sijawahi ndiyo maana sina chuki na mtu yaani wewe inaonekana walikula tako ndiyo maana huwapendi
Usingewahi kamwe usingekuwa unayajua na unaonyesha wazi kuwa Wewe ni 'Mtambaliziwaji' wa Kutukuka kabisa na Mwandamizi pia.
 
Sabaya hana hatia na hawataweza kamwe, amefanya mengi kwa niaba ya ccm. Samia akiitisha kikao cha chama ataambiwa ukweli akipenda kupuuza ni yeye tu ila Sabaya hatampa umaarufu wowote.
 
Sabaya hana hatia na hawataweza kamwe, amefanya mengi kwa niaba ya ccm. Samia akiitisha kikao cha chama ataambiwa ukweli akipenda kupuuza ni yeye tu ila Sabaya hatampa umaarufu wowote.
Fanya upesi uwahi 'Ukapimwe' Utahaira.
 
Back
Top Bottom