Kwa jinsi nilivyousoma mkataba mpya Kati ya Serikali na Acacia,Watanzania tunaanza kula matunda ya awamu ya tano

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Kama kawaida Magufuli mzee wa game changer tayari ameshaibuka kudedea tena

Huu mkataba mpya wa madini baada ya mabeberu kusarenda sasa Watanzania tutaanza kufaidi raslimali zetu

Now ni pasu kwa pasu hakuna tena mambo ya 3%
Wananchi wanaoishi karibu na migodi hamtaachiwa mashimo tu mtafaidi raslimali zenu

Serkali itakuwa na uwezo wa kuteua mwenyekiti mwenza kuongoza kampuni

Wasaidizi wa Rais wakiongozwa na Mh.kabudi walijifungia muda mrefu wakipambana na mabeberu waliokuwa wanatetewa na baadhi ya Watanzania wasaliti wamefanikiwa kumshinda beberu ndani na nje ya Mahakama

Magufuli usichoke Mkuu...
Naamini na wachina ipo siku utawaita mezani warekebishe hiyo mikataba ya kilaghai na unyonyaji kuhusu gas yetu kule kusini

Niwatakie Dominika njema ya 24 ya Mwaka C
 
Wewe utakuwa mmoja wa washauri mashuhuri wa serikali ya awamu ya tano ya uchumi wa kati wa viwanda
 
Huo mkataba ulipitishwa na kura za ndio pale BUNGENI leo unakuja kusifia nini angalia hiyo hizo picha hapo chini
IMG_20190915_083303.jpg
IMG_20190915_080647.jpg
IMG_20190915_080647.jpg
 
Back
Top Bottom