Kwa jinsi Mbeya Kwanza FC inavyocheza Kitoto (Kiuanafunzi) zaidi nitaona 'Maajabu' makubwa ikiifunga Yanga SC leo

Hii ni NBC PL shekhee!! sio ligi kuu Tanzania bara

Saa 12 ndio utaigundua tofauti yake ni nini
 
Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa ( Ushindi Mnono ) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
Wewe achana na lamli za kipuuzi unaanza kutafuta pa kujifichia mapema eti, mpira auko ivyo kama unavyofikilia acha dk 90 ziamue uwanjani sio maneno maneno
 
Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa ( Ushindi Mnono ) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
Sisi Mashabiki wa mnyama anayeogopwa na wanyama wote porini, tunasubiria ndoo yetu tuichuke kwa mara ta TANO mfululizo mwaka huu. Hao Utopolo waache waendelee kuruka ruka tu! Wana maneno mengi yasiyo na tija!
 
Back
Top Bottom