Kwa jinsi hii Wanawake shughuli mnayo kulinda ndoa zenu...???

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
3,097
1,352
.
 
Attachments

  • 1450886642441.jpg
    1450886642441.jpg
    51.3 KB · Views: 5,495
  • 1450886658540.jpg
    1450886658540.jpg
    43.5 KB · Views: 5,161
Jamani hapa ni mume wa nani atajifanya achepuki....????

Mimi ni mmoja wao nasema siwezi chepuka na demu kama huyu kwa sababu tako lenyewe lina mabonde na milima. Mimi napenda wanawake wenye vigezo vifuatao: Awe na tako la wastani lisilo na milima na mabonde, asijichubue, asiwe na kitambi cha mataptap, asiwe mla hovyo asiyejipenda, asiwe mropokaji, asinuke sehemu za siri na makwapa wala mdomo, awe ananukia vizuri at all times, asiwe na nywele fake (kubeba tani 7 kichwani (wig) is a turn off for me, asiwe anaiga vitu vya nje visivyo na msingi, Asiishi maisha ya maigizo kama ya Wema Sepetu na wadada wa bongo muvi, awe anajitegemea na si tegemezi kwangu kila kukicha, asiwe mama huruma kwa wanaume wengine (najuwa kuna makabila mengine mademu hawakatai wanaume eti wanaona dhambi na mkosi wa kuto olewa kama utamkataa mwanaume).
 
Unapaswa ujue jambo moja kiwa hakuna jipya chini ya jua mkuu yote unayoyaona ni ubatili tu tulia na wako
 
Mimi hapo sichepuki Ng'oo ,kilichokuvutia hapo ni rangi za nguo au ?? Maana akivua nguo hata kumwangalia unaogopa
 
Mimi ni mmoja wao nasema siwezi chepuka na demu kama huyu kwa sababu tako lenyewe lina mabonde na milima. Mimi napenda wanawake wenye vigezo vifuatao: Awe na tako la wastani lisilo na milima na mabonde, asijichubue, asiwe na kitambi cha mataptap, asiwe mla hovyo asiyejipenda, asiwe mropokaji, asinuke sehemu za siri na makwapa wala mdomo, awe ananukia vizuri at all times, asiwe na nywele fake (kubeba tani 7 kichwani (wig) is a turn off for me, asiwe anaiga vitu vya nje visivyo na msingi, Asiishi maisha ya maigizo kama ya Wema Sepetu na wadada wa bongo muvi, awe anajitegemea na si tegemezi kwangu kila kukicha, asiwe mama huruma kwa wanaume wengine (najuwa kuna makabila mengine mademu hawakatai wanaume eti wanaona dhambi na mkosi wa kuto olewa kama utamkataa mwanaume).

Huyu inabidi umtengeneze kwa mikono yako ukifikiria kumchonga nishtue kuna shoka hapa maana panga peke yake halitoshi
 
Mkuu hauna macho, mbona wako wengi hapa mjini? Tembea ujionee, si kila mwanamke anapenda kitambi cha mataptap au kuiga kila kitu kutoka nje hata cha kijinga. Yaani nakuapia wako wengi sana wanaojipenda si kama uzaniavyo.
 
Back
Top Bottom