kwa jinsi hii tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa jinsi hii tutafika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wapalepale, May 19, 2011.

 1. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  Habari zenu great thinkers,
  jaman jana kunakitu kimenisikitisha sana. kuna mama tulipanda nae kwenye daladala akiwa na mtoto mdogo sana (9months-1.5years hiv). cha kushangaza tuliowakuta hata hawakumuurumia kwa kupisha akae ilhali gari limejaa, tena ni watu wazima kabisa. baada ya safari kidogo mtoto akaanza kulia (nadhani kwa sababu ya joto kwa kuwa gari lilikuwa limejaa sana), ila watu hawakuonyesha kujali kabisa

  my take: jamani tatizo la usafiri lisitufanye tuwe wakatili hata kwa viumbe visvyo na hatia, tuhurumianne pale inapobidi

  Nawasilisha.
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wapalepale!
  Ulichoongea ni sahihi kabisa kwa Tanzania ile.......Kwa sasa ni ngumu....Nimesoma muda mrefu Dar. Asubuhi nikienda shule kutokea maeneo ya Tabata ilikuwa ngumu sana kupata Usafiri.

  Basi tulikuwa tunajaribu kasimama kituoni karibu na Watu wazima ili basi likisimama tupande nao...cha kusikitisha nao walitukimbia wakisema nao hawapati usafiri kirahisi wakisimama nasi wanafunzi, hata wakati mwingine watu wazima walitetea sana Makonda.....Baala ya kushinikiza daladala zituchukue.......Ilinipa Ari na Nguvu za kufanya kazi kujikomboa.....Ilijenga dhana ya Ubinafsi na Ukombozi wa mtu mmoja mmoja.....

  Now, Is survival for the fittest.....Sio dhana nzuri sana but it is very hard to change it, so better for you to change.
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hii inasikitisha sana
  au utakuta bibi au babu mzee kweli
  kasimama mtu kajivalia matai yake hapo anajifanya yuko kwenye simu na wala hata
  hampishi kiti.. heshima zetu nadhani tumezufungia kwenye mfuko wa nyuma..
   
 4. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa zamani enzi zetu
  vijana wa utandawazi.com heshima mfukoni
  zamani ukikutana na mtu amekuzidi umri anamzigo unamsaidia
  kwa sasa mambo kimjini mjini
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Haya ni matatizo ambayo yanaanzia toka katika ngazi ya familia!
   
 6. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33

  daah jamani hata kwa wamama waliobeba hawa 'malaika'????
   
 7. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  tatizo mtu ukimkumbusha kuhusu hili utakula matusi mpaka ukome watu kweli wamechanganyikiwa siku hizi
   
 8. K

  Kitwanad Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ulikuwepo kwenye basi, ulichukua hatua gani?

  nilitegemea utatwambia kuwa wewe ulimpisha akae. Sasa kama tatizo linaanzia kwako mtoa hoja.....tatizo halijapata mtetezi bado. anza wewe kubadilika, kisha jirani yako na hatimaye wabongo wote tutachange.
   
 9. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Abiria tuanze kwa kuacha kupanda daladala ambayo imejaa.
  Siku hizi sio rahisi kusaidiwa eti kwa vile una mtoto au
  umri ni mkubwa.
   
 10. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  Mkuu huyo mama tulipanda nae na tulikuta seat zote zimekaliwa.. nadhani umenipata, na sidhani kama ningekuwa nimepata seat halafu sikumsaidia kisha ningeleta hoja hapa.. tujaribu kufikiri kidogo kama jukwaa letu linavyojinadi (home of great thinkers)
   
Loading...