Kwa jinsi hali ilivyo Tripoli, CHADEMA acheni maandamano

Samahani nataka kujua, hv wahndi wana haki sana kuliko sie wandengereko? Then why uogope kufa kwao wakati hata sie twafa tena sio kwa machafuko ya kisiasa bali kwa njaa, maradhi na tabu tele za kisaikolojia? Km kweli unawaza positively, then tupeni haki zetu hatutaandamana. Zaidi cdm hawajaivuruga amani au u2livu ya nch hii bali nyie ccm mmekwiba vyote. Tel me ntakuwaje na amani wakati nina njaa, cna ajira, wazazi maskini, maisha yanakuwa magumu kila dakika? Hv CDM ndio wameleta ugumu wa maisha? NIKIZIPATA BUNDUKI...MAFISADI MTAKOMA...JK UR MAKING ME SICK...NATAMANI HADI KUKU..... Aagghrr!
<br />
<br />
AMANI TANZANIA?=IMANI YA AMANI+ UOGA DHIDI YA STATE MACHINERIES+FIKRA ZA TEACHER. We are out of time,plz wake up.SAMAKI KIKAANGONI=DAGAA WAKAMEKASIRIKA.
 
Mimi binafsi napenda sana kuona maendeleo ya nchi yetu na ustawi kwa taifa letu. Amani kwa sasa ipo, ila maandamano na vurugu si njia sahihi hata kidogo. Nguvu ya hoja ni bora kuliko hoja ya kutumia nguvu!
 
Back
Top Bottom