Kwa jinsi hali ilivyo Tripoli, CHADEMA acheni maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa jinsi hali ilivyo Tripoli, CHADEMA acheni maandamano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Aug 29, 2011.

1. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#1
Aug 29, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita.

CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa. Amani imetoweka, na kila kona ya nchi ni shida tupu. Raia wa kigeni, hasa waafrika wanauawa kwa kisingizio kwamba, eti walikuwa ni sehemu ya majeshi ya kukodiwa ya Ghadafi.

Hapa nchini Tanzania, endapo maandamano ya CHADEMA yatashika kasi, raia wenye asili ya kihindi ambao wanahusishwa zaidi na chama tawala, huenda wakaja kuwa wahanga wakubwa wa ghasia zitakazotokana na maandamano hayo.

2. J

Jasusi JF-Expert Member

#2
Aug 29, 2011
Joined: May 5, 2006
Messages: 11,484
Likes Received: 165
Trophy Points: 160
Mbona hukutaja Tunisia na Misri? Au hizo hukuziona kuwa zilifanya mapinduzi ya maandamano?

3. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#3
Aug 29, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,154
Likes Received: 2,407
Trophy Points: 280
Mpaka kieleweke Mkuu,Hakuna Kulala.....

4. F

FJM JF-Expert Member

#4
Aug 29, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
Gadaffi aliuwa wangapi? na wate aliowauwa walikuwa na hatia?

Gadafi alitakiwa kabisa kuondoka madarakani, lakini kuondoka kwake si tu kumeleta maafa makubwa pamoja na watu kuteza maisha bali Africa tumeaibika vibaya. If I had my way, AU inatakiwa ivunjwe kabisa kila mtu aende nyumbani until further notice.

5. j

jnuswe JF-Expert Member

#5
Aug 29, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 1,271
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
Mbona sijaokota hata point kwenye thread yako ? ulitaka kueleza nini , maana sioni kitu hapo

6. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#6
Aug 29, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,107
Likes Received: 22,163
Trophy Points: 280
Magwanda hawana uwezo tutahakikisha tunawasuilubu kila wanapojaribu kutuchafulia amani yetu. Kama walivyofanywa Arusha na watakapojaribu tena itakuwa ni mara 100 ya ile.

7. j

jnuswe JF-Expert Member

#7
Aug 29, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 1,271
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
vipi ulitoka lini hospitali, kapumzike , naona maralia yako ilikuwa kali mno

8. UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

#8
Aug 29, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 2,974
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Mkuu, wewe unafurahia watu kuuawa eeh?! Ama kweli kua mwanangu uyaone!

9. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#9
Aug 29, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
hayo mawazo unapaswa uwaambie CCM na si chadema..

10. jogi

jogi JF-Expert Member

#10
Aug 29, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,801
Trophy Points: 280
nakumbuka wakati wa vita vya kagera wamiliki wa mabasi walitakiwa kutoa mabasi yao kwa hiari ili yasaidie kupeleka wanajeshi wetu mstari wa mbele, waliokataa hawakuchukuliwa hatua mbaya, bali walinyimwa vibali vya kununua mabasi mapya maisha yao yote, hatua hiyo inafaa kuboreshwa kwa manufaa ya taifa na vizazi vijavyo.

11. Bigirita

Bigirita JF-Expert Member

#11
Aug 29, 2011
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 13,976
Likes Received: 689
Trophy Points: 280
baada ya Mfalme Gadafi kunyonyolewa manyoya yote sasa mmekaa kimya?

12. SOKON 1

SOKON 1 JF-Expert Member

#12
Aug 29, 2011
Joined: Dec 28, 2010
Messages: 1,115
Likes Received: 86
Trophy Points: 145

Crappppp

13. J

Jasusi JF-Expert Member

#13
Aug 29, 2011
Joined: May 5, 2006
Messages: 11,484
Likes Received: 165
Trophy Points: 160
Amani gani unayozungumzia? A false peace ambako Kikwete na familia yake wanatumia unyonge wetu kujitajirisha? Unazungumzia amani gani?

14. Jackbauer

Jackbauer JF-Expert Member

#14
Aug 29, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 5,920
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
unaongea kama nani?wewe na nani?nchi siyo ya kwenu pekee,taratibu na kauli zenu!kama ni amani ya mafisadi nina uhakika machalii wa A town watakua tayari kuiharibu endeleeni na chokochoko tu.taratiiiiiiiiiiiiiibu watanzania washaanza kuzoea suluba with time watasema basi kitakachofuata ni kibaya kuliko kile kilichotokea libya.

15. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#15
Aug 29, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 12,030
Likes Received: 2,677
Trophy Points: 280
Kawaeleze ccm kwamba waache kuiba mali za umma,waache kuuwa watu bila makosa,waache kulindana na watuachie nchi yetu hatuwataki.

16. Jackbauer

Jackbauer JF-Expert Member

#16
Aug 29, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 5,920
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
hawa si ndio vinara wa ufisadi!umejiuliza wahanga wa umasikini,maradhi na ukosefu wa elimu ni raia wenye asili ya wapi?kama sisi(wandengereko) tumekubali kuwa wahanga wa ufisadi sasa kwa nini una wasiwasi na wahindi baada ya maandamano.

17. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#17
Aug 29, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Magamba karibia watamwaga MBOGA na nguvu ya Umma watamwaga UGALI.

18. Shine

Shine JF-Expert Member

#18
Aug 29, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Wewe unadhani uhuru wa kweli unakuja bila kumwaga damu pia maandano ya cdm ni ya amani

19. KALYOVATIPI

KALYOVATIPI JF-Expert Member

#19
Aug 30, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 1,419
Likes Received: 13
Trophy Points: 0

Nakusikitikia kwa kutowaona ndugu zako wanaouawa kule mara,arusha lkn umewaona wale wanaofia haki wa libya kwani wewe unafikili kuna haki duniani inapatikana bila ya damu kumwagika kama mtume alipigana vita vya JIHAD yesu alimwaga damu msalabani ili kuzisimamisha DINI zetu zilipo sasa mfano mdogo tu znz damu za wapemba zimemwagika na sasa wapo walipo. We vip?

20. m

mzee wa njaa JF-Expert Member

#20
Aug 30, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 1,368
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Naona unatafuta publicity.......Nyie kwa kauli za kifedhuli ndio maana TZ iko hv hadi leo.

Loading...