Kwa jinsi CDM inapokea mkaundi ya wanachama wapya,kuwepo muda hakumaanishi kuingiza wanachama wengi

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kwa jinsi CDM inaingiza wanachama wengi ktk kila mkutano kwa miaka hii.Tutakuwa tunadanganyana kudai sijui nani alijenga chama kwa kuingiza wanachama wengi.

Nimeona miaka ya karibu makamanda km Lema, Mawazo,heche, na wengine wengi wanaochapa kazi kila mkutano wanaingiza watu ktk kipindi cha miaka km 3 hivi ni wazi kuwa wameingiza watu wengi sana ukilinganisha na wanodhani kuwa wamekaa muda mrefu.Wengi wa aliokuwa zamani alikushanya washabiki ambao kipindi kile hawakuwa na imani sana na upinzani.Pia watu hawakua na uhuru sana wa kujipambanua hadharani.

Wale wote wanaojidai kuwa wamejenga chama kwa kuleta watu watakuwa wanadanganya sana.Tena wakiwa ni wale wa zamani sana itakuw ani uongo zaidi.Makamanda wote wanafanya kazi km mchwa na miaka hii ndio mavuno yanakuja makubwa sana tofauti na washambiki zamani.Wanaoweza jidai ni wale walioweka misingi na Nidhamu ktk chama kuanzia zamani.Wakifuatiwa na walioheshimu na kukubali kufanya akzi km timu kwa ushirikiano na nidhamu.

Asimame yeyote alete idadi ya wanchama hai aliowaingiza CDM,halafe athibitihse kuwa wanazidi wengine hata wale walioingia miaka ya karibuni.

NInachoshukuru na kuwapongeza CDM ni kwamba kila ktu anawajibika na kuleta watu.kwa bahati mbaya kuna wale walioacha siku nyingi kushiriki M4C ,bado wanaamini kuwa walijenga chama kuingza wanachama wengi wakati kipindi hicho CDM walikuwa wakilima robo hekari, na watu walikuwa waoga.Leo CDM imelima kilometer zote za nchi na watu wapo huru zaidi kusema hisia zao na kujiunga na CDM, wanashuhudia vilema wakitembea ktk public domain..kuna M4C..Hawa waloacha chama na kujifanyia mambo yao wanyo kazi sana kushawishi kuwa wana cha kujivunia ktk idadi ya wanachana.

Viva CDM.
 
hii hoja siyo nzuri
 
hii hoja siyo nzuri

hembu dadavua kiongozi....ninachojua.Enzi hii wanachama wanavunwa kwa wingi sana.Kiongozi anayejigmba kwa kuivingiza wanachama(tena wengi ni washabiki kwa enzi zile )wengi kwa vile kaka muda mrefe halafu kipindi fulani akakaa bench akieruzi facebook,twiiter baada ya kuja IPAD.Then ajue idadi ya wanachama wake inaweza kuwa kituko enzi hizi za akina falcao, messi,ronaldo,ibrahimovich,eto...
 
Back
Top Bottom