OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,972
- 114,278
Nimeona waandishi, baadhi ya wachambuzi wa duru za siasa wa watumiaji wa mitandao ya kijaa wakijaribu kushawishi kuwa Magufuli na serikali yake wana dira nzuri na watatimiza ahadi zao kwa wakati.
Waandishi wa habari wanashindana kupamba kwa jicho la kinafiki, kujipendekeza-pendekeza watu hawa wapo sahihi.Awamu hii unafiki mbele, ukweli-mchungu mwiko!
Tunatumia mda mwingi kutafuta slogan za kupamba "Mizuka".But where are we heading hakujulikani.Kikwete alikuwa na wakosoaji wengi tatizo likawa ni mfumo mbovu wa kutekeleza.Huyu sauti za wakosoaji hazisikiki.
Je, Unafiki utatuvusha? Time will tell