Kwa jicho la tatu, chaguo la Mbowe kwenye uongozi wa juu CHADEMA ni Wakili msomi Tundu Lissu

Mbowee ameshastuka jahazi la chadema kinaenda kuanguka uchaguzi ujao..Sasa kaona atafute mti wa kufa nae
Watu wengine sijui mnayaona mambo kwa jicho moja? Tena pengine lipo nyuma. Kama uchaguzi was SM mmeanguka na kuzuia 94% wasishiriki ili mjitangazie ushindi bado huelewi kuwa kama wizi wenu ukidhibitiwa uchaguzi hata 20% hamuambulii?

Sasa hivi wenyeviti was mitaa na vijiji mliowapitisha wameanza kuacha wenyewe kwa kukosa ushirikiano na kwingine wameambulia kipigo
 
1575432871445.jpeg
 
Hahahah jomba sasa watu wawachague kwa Sera ipi hasa ambayo mmeshaonyesha matokeo yake mpaka Sasa...Kama ni vipngozi wakubwa wanawakimbia, hamuonyeshi welekeo wowote mpo mpo tu..mnatia aibu Sana..

Chama chenyewe mmekigeuza kimekuwa saccos, hata wewe unaruhusiwa Sasa hivi Ben kakope fasta..hivi hiki utasema ni chama..baadhi ya wenyeviti wenu kwanza waliwagomea kususia uchaguzi, upo..wameingiza timu na wameshinda .hawa sijui mtawafukuza uanachama...hahaha..

Vipi kuhusu viongozi wenu waandamizi ambao wameamua bila kushurutishwa kwenda kumuunga mkono Magufuli..hoja yenu inasemaje.

Chama kinaenda kuporomoma na chama kingine kitaibuka, Wala msinyongonyee...hii ni history..hata wewe ukiona yamekufika shingoni Hama tu jomba..usimwonee mtu aibu
 
Petro E. Mselewa,
Halafu kuna watu wanakuja hapa na kupiga kelele, Mbowe anaakili sana na ni mtulivu sana ana sifa zote za kiuongozi, pamoja na kuwa Lissu ni msomi mzuri lakini naamini akiwa chini ya Mbowe atajifunza zaidi Hekima, uvumilivu na Busara za Kaka yake Mbowe, hivyo atakuwa amekiacha chama salama..wapiga kelele wote ipo siku watajua najua wanajua lakini watakujua zaidi baadaye.
 
Atakiacha chama gani?!
 
Sasa huyo Lissu ataongoza chama kutokea ughaibuni au vipi maana akirudi sijui kama tena wale watesi wake watafanya makosa
 
Kwanini unapenda kuleta uchichezi? Unapata tabu Sana ukiona watu wanaishi Kwa Amani na utulivu? Unmoandikiziaje lisu maneno! Alikuambia Hana Amani na nafasi ya umakamu? Uliongea naye?
"Vinywa vya wapumbavu hutoa upumbavu" Mwanzi1,
 
Ina maana anafuata nyayo za Mh.Putin wa Urusi enzi zile.?
Vipi kuhusu katiba na muongozo wa sharia za vyama vya siasa? Yuko sawa?
 
Back
Top Bottom