Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kama kusafirisha mchanga wa dhahabu kwenda nje lilikuwa kosa na halipo kwenye mkataba wa makubaliano Profesa Muhongo inabidi awajibike au awajibishwe.
Huyu mtu ndio mwenye dhamana ya madini.Lakini kakaa kizembe mpaka rais ndio aone tunavyoibiwa.Yeye alikuwa wapi?
Huyu mtu ndio mwenye dhamana ya madini.Lakini kakaa kizembe mpaka rais ndio aone tunavyoibiwa.Yeye alikuwa wapi?