Kwa huyu shemeji yangu nitatoka kweli?

Unapokua na challenge kwenye masuala ya mahusiano epuka sana ushauri wa wanawake. Kwenye huu uzi wanawake wamekushauri katika angle ya wivu tu. Nakushauri kama shemeji amekupa mating signal we mfumue kwa siri sana na usilete mazoea nae after there, hata yeye hatapenda siri hii ivuje sababu anapambania ndoa yake kinachomsumbua hapo ni nyege tu. Tom.ber mkuu
 
Nikuulize kitu mkuu;
Umeanza kujihusisha na mapenzi/zinaa lini?
Umefunua tako ngapi na zimekusaidia nini?

Hilo tako baada ya mwezi hulihitaji tena lakini doa la kupoteza uaminifu litakutafuna hadi ufe.

Heshimu mkeo...ni thawabu kubwa sana.
Nye..ge hazinaga adabu jitahidi zisikupande kichwani mkuu
point
 
Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda lakini wana mtoto mmoja na ndoa ya kikristo

Shida ilianzia siku wife alisafri kwenda msibani kijijini mimi nikawa nimebak home na nikiwa najiuguza homa kidogo.

Sasa kuna vitu vya kazini kwao na wife vilikua vinahitajika na wife kaviacha home ikabidi ampe rafiki yake namba zangu za simu aje achukue homa, shemeji angu akanipigia akaja home kuchukua kuja duu shemeji ni mtu na nusu, kwa kwel shem ana shep na t*ko la haja na ndo ugonjwa wangu. Nikampatia alichofata akasep mmmh from there kuna kitu kikaanza kuibuka

Tukaanza kuchat na akaanza kunishirikisha migogoro yake ya ndoa bila wife kujua nae akaanza kunisifia mbele ya wife uko kazini haya wife akawa ananambia na wife kahis huyu shemej angu nikimtaka hakatai nae kanambia hivyo

Wife kanitahadharisha kua nikimla na cha moto ntakiona na shemej angu nae kapigwa mkwala kua hawa ni wanaume ni watu wa tamaa siku ukimpa mume wangu tutagawana majengo ya umma haya nayo kanambia shem.kweny utan utan tu

Mwanzo niliamua kumpotezea lakin kadri muda unavoenda naona shemej anazidi kua kisu

Shida kubwa naona nikimla atamdharau mke wangu hata wife akinisema vzr wakiwa wote atakua anamtukana kimoyo moyo

Kingine huyu shemej anastress za mapenzi kwa mume wake asije akanogewa nikahatarisha ndoa yangu

Na mwusho naogopa asije amkatilia mke wangu sumu au ammalize wife apate nafasi kwangu coz kwa mumewe hatak kurud tena

Nikimwangalia wife na jinsi anavomwamini huyu dada nitasababisha ugomvi wa karne na wife hataniamini tena lakini nikiangalia hili t*ko la shemeji kumuacha naona kama najidhulumu nafsi
Kula tako hilo wewe wacha uwoga.
Wife hawezi fanya lolote. Warembo wapo kwa ajili yetu
 
Nikimwangalia wife na jinsi anavomwamini huyu dada nitasababisha ugomvi wa karne na wife hataniamini tena lakini nikiangalia hili t*ko la shemeji kumuacha naona kama najidhulumu nafsi

It seems mkeo ana tako dogo kuliko huyo shemejiyo,Nawewe kinachokutoa mate ni hilo difu.

Usimuache nguruwe aliyenona akapita mbele yako ilihali una mkuki, Dagaa za kila siku zinakinai.
 
Unapokua na challenge kwenye masuala ya mahusiano epuka sana ushauri wa wanawake. Kwenye huu uzi wanawake wamekushauri katika angle ya wivu tu. Nakushauri kama shemeji amekupa mating signal we mfumue kwa siri sana na usilete mazoea nae after there, hata yeye hatapenda siri hii ivuje sababu anapambania ndoa yake kinachomsumbua hapo ni nyege tu. Tom.ber mkuu
Mtoa mada fata ushauri huu
 
Mtafune kaka what are you waiting for.!?

Kitu Ambacho watu wengi Hawa kijui ni kwamba mwanaume /mwanamke wanapofika kuanzia miaka 30s Yaani miili Yao ndio Ina zidi kuwa na high libido Asikwambie mtu tamaa za mwili ndio Huwa zina zidi kuzalisha vichocheo , Sasa Kwa muktadha huo una muachaje mambo ya kuji dhulumu nafsi hayo , wee mkule tu acha ujinga
 
Tako km tako ndio liharibu miaka yote mliyokutana na mke wako... kuwa mwanaume mume bhn sio mwanaume mwanaume tu
 
Back
Top Bottom