karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,799
- 3,221
Majira ya saa 2 usiku Pablo Franco atambulishwa kuwa kocha mpya wa mabingwa wa nchi Simba sc club
Binafsi moja kwa moja nikaangakia CV zake nikaona inavutia achana na kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid na Getafe lakini kwa takwimu za klabu yake ya sasa huko kuwait inavutia
Katika mechi 18 amefungwa mbili kashinda 10 na sare 6 na ni wapili kwenye msimamo kama mnavyoona hapo chini kwenye picha
Kama mazingira na vitu vingine havitaadhiri utendaji wake wa kazi basi simba itakuwa imepata bonge la kocha
Mshahara wake wa mwezi mmoja unamlipa Nani miezi 6 View attachment 2001334
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app