Kwa huu uzushi Serikali ipige marufuku mahindi kwenda Kenya, badala yake mahindi ya ziada yatumike kuzalisha vyakula vya mifugo

Tz tunahitaji Nuclear Capable weapons.

Tukifanikiwa. tutakua na uwezo wa kujilinda na kuwalinda mataifa mengine ya Kiafrica.

Kenya usaliti wao kwa tz haujaanza leo.

Ukitaka kujua, Rejea ya Nyerere na kenya juu ya EAC ya kipindi kile.

Kwa hili huyu kijana Kenyata anatumiwa na mabeberu.
Mnataka vifaa vya nuclear sio majirani zetu, kwanza muwe na uwezo wa kutengeneza viwanda vya uzalishaji wa hiyo nuclear(ka nimekosea sijui 😂) pili kuweza kuitunza ili isiwadhuru nyie na majirani zenu na hiyo yote ni hela ya raia wa chini inatumika, so think twice before acting on something new. Nafikiri unakumbuka mkasa wa Japan na nuclear power plants zao wakati kulipotokea Tsunami, leo ndio wameadhimisha miaka sijui mingapi toka itokee hilo janga. Radiation hatari ili leak na hadi wa leo watu hawajawahi kurudi makwao na ni mpaka miaka ka 20 ndio hali hiyo iwe shwari. Tafakari (au nenda YouTube ucheki mambo ya nuclear, sio kila nchi inamfaa)
✌️
 
Wakenya wapate njaa
Wapate njaa mara ngapi? njaa ni sehemu ya maisha ya wakenya wengi maana maeneo yenye ardhi nzuri ya kilimo imeshikiliwa na wafanyabiashara na wanasiasa wachache...ndo maana huwa wanakula hadi mahindi yaliyooza na kufa kwa sumu kuvu karibia kila mwaka. Ndo maana nauliza kiburi cha wakenya kukataa mahindi kutoka Tanzania wamekipata wapi?
 
Kiburi cha nyie kukataa kinga ya corona mnakitoa wapi?
 
Kwa sababu bado ipo kwenye majaribio na sisi siyo panya wa majaribio....majaribio yoyote ya dawa au chanjo huwa hayahusishi watu wote duniani, ni wale wachache wanaojitolea na hulipwa fidia, nyie mnafanyiwa majaribio bure kabisa..
 
Kwani mi nikipewa chanjo nikafa wewe una hasara ngani?
 
Kwa sababu bado ipo kwenye majaribio na sisi siyo panya wa majaribio....majaribio yoyote ya dawa au chanjo huwa hayahusishi watu wote duniani, ni wale wachache wanaojitolea na hulipwa fidia, nyie mnafanyiwa majaribio bure kabisa..
Kuenda shule muhimu kumbe, yaani hivi unadhani bado chanjo yafanyiwa majaribio, dah? 😂
✌️
 
Back
Top Bottom