John Manoni
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 156
- 114
Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia ya hukumu hii itabaki kuwa somo la kwanini CCM huwa wanafanya uchafuzi kwenye uchaguzi.Hiki ni kivuli cha kauli ya OCD wa Hai kwa Mhe.Mbowe uchaguzi mkuu 2020!Pamoja na mazingira ya kiccm ndani ya serikali na Sabaya wao.