Kwa hujuma hii ya Polisi Kalenga, Wanachadema wote natuseme!!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Kufuatia hujuma ya Polisi Kalenga kuzuia helkopita ya Chadema na kuruhusu mesidisi benzi maalumu za ccm, wanachadema tunasema, Mh Mbowe songa mbelee!

Wakikutungua kama walivotaka kukuua Arusha pale Soweto, Hata wao hawataishi milele, ila jina lako, maneno yako harakati zako, zitabaki na kuishi kwa wema na haki milele, kuliko wao wakifa watasahaulika kama mizonga.

Hongera our CHAIRMAN FREEMAN MBOWE, Kamwe hatutorudi nyuma. We shall overcome
 
hakuna kama mungu ukimtanguliza kila kitu kinawezekana hakuna wa kumtungua
 
Kwanini thread za CHADEMA zinatolewa jukwa la siasa na kuachwa za kuichumi kwenye jukwaa la siasa?

Kulikoni wingi wa Thread za ACT?
 
Shikaooo m/kiti mbowe najua hujaanza kutishwa leo so kalenga haiwezi kuwa kikwazo songa songa songa......
 
Umeandika nini Yericko hii nayo ni thread.

kwani thread ina sifa zipi? yapaswa itimize masharti yepi ambayo hii imekiuka? Ulitaka aandike nini wakati unaona kabisa polisi wanavyotumika kuminya demokrasia na uchaguzi huru?
 
Pamoja sana Kamanda wetu wa anga
Kiongozi mahiri wa harakati za ukombozi, bravo sana. Mungu azidi kukulinda
 
Itakuwa dhalau hawa kuwaita polisi, nahisi polisi ni zaidi ya hawa. Ni vijana wahuni wa green guard.
 
leo mapema nimeongea na polisi mmoja ambaye anafanya kazi makao makuu kapelekwa Kalenga kwa kazi maalumu ameniambia kuna hujuma za waziwazi wameagizwa kufanya. ameongea kwa masikitiko.
 
RPC ameshaanza kubadili kauli...

mkumbushen ya arumeru, kwani helkopta kisheria ni usafiri wa chadema?...
taifa letu ni changa sana kidemokrasia, nawashangaa sana polis wanaweka taaluma zao mifukoni na kutumika kama kasuku.
 
Ngoja tuone sakata hili litaishaje maana serikali yetu haitambua kama inaongoza watu wenye itikadi tofauti wao wanaforce kila mtu afuate sera za chama cha mapinduzi kama wafanyavyo policcm
 
Back
Top Bottom