Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

Magufuli hakuahidi katiba mpya period!!

Jk Aliwaletea mchakato mkaanzisha chama cha siasa ...UKAWA...

Hapa ni Kazi tu...msitafute hela za vikao visivyo na tija.
Yaani hawa jamaa akili zao sijui huwa wanazisahau wapi....? Wao kwakukosa busara walivuruga mchakato mzima wa katiba mpya eti kisa muungano. Utazani shida ya katiba yetu ni muungano peke. Kiukweli ni watu wakupuuza tu... wanachoongea sio wanachomaanisha.
 
Magufuli hakuahidi katiba mpya period!!

Jk Aliwaletea mchakato mkaanzisha chama cha siasa ...UKAWA...

Hapa ni Kazi tu...msitafute hela za vikao visivyo na tija.
Hivi wewe ni mtanzania?
Hivi unaitakia mema Tanzania?
Huoni umuhimu wa katiba mpya kwa taifa letu?
Au wewe ni mnyarwanda au mlundi?
 
Yaani hawa jamaa akili zao sijui huwa wanazisahau wapi....? Wao kwakukosa busara walivuruga mchakato mzima wa katiba mpya eti kisa muungano. Utazani shida ya katiba yetu ni muungano peke. Kiukweli ni watu wakupuuza tu... wanachoongea sio wanachomaanisha.

..ukawa walijitoa bunge la katiba.

..ccm wakaendelea na mchakato mpaka kufikia tamati, na kutuletea kinachoitwa "katiba ya chenge."

..kwa msingi huo huwezi kusema ukawa walivuruga mchakato mzima.

..serikali na ccm wanapaswa kutueleza kwanini utaratibu wa kutupatia katiba mpya umekwama.
 
Back
Top Bottom