Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,632
- 20,975
Hekima za mungu sio za utambuzi wako wewe binadamu kiumbe dhaifu,wala ufahamu wako kiduchu hauta weza kutambua hata 1 ya 1000000 za hekima zake tukufu, yeye awezaye kulikinga jambo baya kwa ubaya.
#Msikome kuomba na kumsifu. The one who is one the omniponent the Alfa and Omega.
-->>Hata ukiifikirishaje akili yako kumuhusu yeye unafanya kazi bure, maana kwake yeye wewe si chochote.
#Msikome kuomba na kumsifu. The one who is one the omniponent the Alfa and Omega.
-->>Hata ukiifikirishaje akili yako kumuhusu yeye unafanya kazi bure, maana kwake yeye wewe si chochote.