Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Mungu wa biblia,

Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!

Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!

Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).

Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.

Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!

Je, hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo?

Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa?

Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.

Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?

Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?

Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??
Hata wale wa Mungu anaeitwa allah wanatupa mkanganyiko pia!!!!Maana kuna sheria moja wanaikwepa kaka au hujui?????
 
Kasome vizuri Kumbukumbu la Torati wanaelezewa vizuri na tabia zao. Tamaduni na mila zao.....wale wa pale hawafananii hata kitu kimoja. Hivi mzungu anaweza kuwa Mtumwa for 40 years kwenye joto la Egypt!?????
And jiulize swali lingine why South Africa, Australia na Israel ndio nchi zinaongoza kwa kansa ya Ngozi??? from sunrays.
bigg bjgggg point borrr
 
Laana uliyonayo haikuanza kwako tu, itakuwa ilianza kwa babu zako na inaendelea kuwatafunana nyie ktk huo ukoo!
Laana hii ya kuasi kumbuka ni ya milele kwenu!
Laana gwa nyoko hakuna laana Wala Bibi yake ibilisi kwetu we are blessed na Nina furaha kuliko wewe hapo na hizo stress zako toka pepooooo
😁😁😁😁😁
 
Shauri zako, ngoja siku Messiah ajitokeze hapo Israel na kuanza kupatanisha mataifaa ndipo taya yako ya chini itadondoka kwa kushangaa.
Kipindi hicho cha massiah mapanga yatapondwa kutengeneza majembe. Na watu hawatajifunza tena vitaa wanajeshi wote duniani watakosa cha kufanya.
 
Back
Top Bottom