Kwa hoja hii CCM wanaijengea nguvu CHADEMA Tanga

mimi ni kada kabisa wa ccm lakini leo bungeni imani imenitoka na kesho narudisha kadi

CCM ni janga la kitaifa, sikutegemea kama wangekataa hoja hiyo, eti kisa imetoka chadema, mbona CCM wanakosa uungwana na uzalendo kwa taifa lao kwa kiasi hiki? Mbona CDM wameunga mkono hoja ya Makamba? Kaka rudisha kadi hiki ni chama cha wauwaji!
 
Kitendo cha wabunge kuikataa hoja binafsi iliyowasilishwa na Zitto Kabwe kuhusu zao la mkonge itatumika kama lungu na CHADEMA katika kuingia na kukijenga chama katika mikoa ya Tanga na Morogoro.

Katika hili ambalo ni mbinu ambayo watu wa CCM hawakujua kama wameingizwa mkenge kwa kukataa kutetea maslahi ya wakulima wa mkonge Tanga hivyo inaweza ikawajenga na kuwapa hojaCHADEMA za kuingia nazo nazo mkoa wa Tanga.

Nawasilisha

Wananchi wa Tanga tunajua nini Serikali inatufanyia na hasa ukizingatia jinsi ambavyo wabunge wetu wako bega kwa bega na sisi. Suala la hoja ya zao la mkonge bunge haliwezi kuwa chanzo cha CHADEMA kujijenga huku na kama ndiyo gia yao basi wamepotea.
 
meli ya CCM ilizama na mwalimu. Tunachokiona ni mabaki ya meli hiyo yakielea na kusukwasukwa na mawimbi ya bahari.
 
Strategy ya ukweli..!!!

Kitendo cha wabunge kuikataa hoja binafsi iliyowasilishwa na Zitto Kabwe kuhusu zao la mkonge itatumika kama lungu na CHADEMA katika kuingia na kukijenga chama katika mikoa ya Tanga na Morogoro.

Katika hili ambalo ni mbinu ambayo watu wa CCM hawakujua kama wameingizwa mkenge kwa kukataa kutetea maslahi ya wakulima wa mkonge Tanga hivyo inaweza ikawajenga na kuwapa hojaCHADEMA za kuingia nazo nazo mkoa wa Tanga.

Nawasilisha
 
du yaani mbunge wa korogwe amenitia kichefuchefu sana wananchi w korogwe wanahangaika na uchumi mbovu ikiwa mkonge ulikuwa mkombozi wa raia,da jamani nitakuwa wa kwanza kuwaelewesha wanakorogwe wenzangu juu ya hili mhe,zito wanakorogwe tumeona juhudi zako ukitoka bungeni pangeni ziara ya korogwe mkavune wanachama kabla hawajalisahau hili,daaaa yani natamani kuliaaa
 
aliyeniboa mwingine ni huyu waziri wa kilimo huyu nani huyu, magembe katungatunga data pale ili mradi tu kuivunja nguvu hoja ya zitto,for real kuna kiti kipya leo has came to my mind,magamba ni wauaji.huwezi kucrash hoja yenye faida kwa wananchi kama ile eti kisa tu imetolewa na mpinzani.
 
Sasa kaka wewe unadhani tungefanyaje zaidi ya kupinga?? maana haya tulilazimishwa kwenye party caucus!!!!
Ila ni kweli ss tupo magamba party kimwili ila kiakili 2po Magwanda, Big up CDM
 
kwakweli nilishangaa sana haswa kuona mbunge wa jimbo husika anapinga kwa nguvu zote,utafikiri kambiwa atoe sehem ya kiwanja chake kwajili ya kulima mkonge.nawaonea uruma watu wa jimbo lake siji wamejifunza nini hapo.
 
Back
Top Bottom