The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,062 13,461 Nov 29, 2016 #5 Hivi vitu ni vitamu jmn tuacheni utani.
dudupori JF-Expert Member Jan 6, 2012 1,793 1,903 Nov 29, 2016 Thread starter #6 Edwin AN said: aisee mkuu hao ni wakemia wa tbl nini Click to expand... Hahaaa hao walikua wachafuzi wa meza
Edwin AN said: aisee mkuu hao ni wakemia wa tbl nini Click to expand... Hahaaa hao walikua wachafuzi wa meza
dudupori JF-Expert Member Jan 6, 2012 1,793 1,903 Nov 29, 2016 Thread starter #7 ISIS said: Dah! sad . .. Click to expand... Tuzidi tu kuisoma namba, tulizidisha sana misifa mkuu
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,529 Nov 29, 2016 #8 dudupori said: Tuzidi tu kuisoma namba, tulizidisha sana misifa mkuu Click to expand... Maana hiyo ni kufuru . . Lust
dudupori said: Tuzidi tu kuisoma namba, tulizidisha sana misifa mkuu Click to expand... Maana hiyo ni kufuru . . Lust
B Bulesi Platinum Member May 14, 2008 14,210 13,723 Nov 29, 2016 #10 ISIS said: Maana hiyo ni kufuru . . Lust Click to expand... Wapiga dili enzi zao!! Sasa kwishney.
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Nov 29, 2016 #11 Wabongo bwana? Wanaume wamejinenepea kwa kula kitimoto na bia wakati wake zao hela ya nusu kilo ya nyama hawapati
Wabongo bwana? Wanaume wamejinenepea kwa kula kitimoto na bia wakati wake zao hela ya nusu kilo ya nyama hawapati
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,554 9,530 Nov 29, 2016 #14 Kuna watu kutumia pesa ilikuwa ni kawaida sana
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,529 Nov 30, 2016 #18 Bulesi said: Wapiga dili enzi zao!! Sasa kwishney. Click to expand... Amen RA
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,529 Nov 30, 2016 #19 Maisha yanaenda kwa mpango sasa . ..asante JPJM
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Jan 2, 2016 2,026 3,100 Nov 30, 2016 #20 Kwa mbaaaali, namuona msando