Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Mi nilicho elewa maraisi watatu wanazungumza kimikakati. Mmoja kilukusa mwingine ni kulalamika tu.
Je wewe umeelewa nini?
Yaan huyo mjapan anasura kavu kweli!Huyo mjapani naomba watu mtafsiri hiyo sura yake inaashiria nini. Kweli kazi tunayo.
Yeye muda wote kakunja ngitaUkimuangalia usoni vizuri kwa umakini wakati anaongea utagundua kuna kitu hakipo sawa, kwa sisi tunaojitambua tunajua kuna tatizo kubwa
Huyu anahubiri amani wakati kwa vitendo na matamko yake ya kuropoka anavunja amaniKwa uelewa wangu. Hawa maraisi wa awamu nne zilizo pita walizungumzia sana kuhusu ummoja, muungano, amani, uzalendo, upendo.
Hii ni kutokana na ishara za mikono yao.
Utadhani askari magereza anatoa amri kwa wafungwaYeye muda wote kakunja ngita
Haelewi kitu hapoHuyo mjapani naomba watu mtafsiri hiyo sura yake inaashiria nini. Kweli kazi tunayo.
Ha ha haaaaaUtadhani askari magereza anatoa amri kwa wafungwa
Inawezekana huyu wa xx akawa anafanya mema ila akachukiwa kwa ugumu wa sura yake tu. Ni kma wewe apo ulivyomuona kikwete mwili ukakusisimka cjui hali yako ipo vip kwa sasa. Ila huyu ukijichanganya ukakutana na uso wake moyo unadunda. Ndyo maana makonda aliwalazimisha waweke picha yake maofisini.Ma sha Allah, Kikwete handsome kuliko wote hao.
huyo ana matatizo na nafsi yake, Hana amani mdani mwake, haya tuyaonayo ni matokeo ya crisis kubwa ndani mwakeUkimuangalia usoni vizuri kwa umakini wakati anaongea utagundua kuna kitu hakipo sawa, kwa sisi tunaojitambua tunajua kuna tatizo kubwa
Hebu tueleze na sie tulinganishe.Kweli hata mimi kuna kitu nimetambua
Hahahaaaaa Faiza na Kikwete ni sawa na mimi na Ali Kiba.Ma sha Allah, Kikwete handsome kuliko wote hao.