Kwa hizi picha, North Korea haifanani na nchi nyingine za dunia ya tatu

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Wanaonekana kabisa wanapiga hatua siku hadi siku. Huwezi amini pamoja na vikwazo vya muda mrefu ila nchi hii ya watu 24 million wanaonekana wana vision na wapo kwenye right path towards development tofauti na nchi nyingine za dunia ya tatu. Ila cha kushangaza kila siku tunaambiwa north korea ni jehanamu ya duniani. Mbona sasa standard of living hata nnayoishuhudia kwenye picha hizi chache sijaiona kwenye nchi yoyote ya ki africa?
 
Attachments

  • 01_181.jpg
    01_181.jpg
    90.4 KB · Views: 244
  • 2DE08AB100000578-0-image-a-2_1446064308832.jpg
    2DE08AB100000578-0-image-a-2_1446064308832.jpg
    42.3 KB · Views: 216
  • 09b18c07-e7ce-4901-9127-fd9999a65234-2060x1710.jpeg
    09b18c07-e7ce-4901-9127-fd9999a65234-2060x1710.jpeg
    53.7 KB · Views: 187
  • 136-window-to-pyongyang.jpg
    136-window-to-pyongyang.jpg
    102 KB · Views: 226
  • 2015-03-26-1427338299-636148-IMG_06601024x768-thumb.jpg
    2015-03-26-1427338299-636148-IMG_06601024x768-thumb.jpg
    28.6 KB · Views: 164
  • 160651000.jpg
    160651000.jpg
    24.2 KB · Views: 745
  • 8265069527_7145062135_b.jpg
    8265069527_7145062135_b.jpg
    84.9 KB · Views: 221
  • GoProPyongYang-620x340-600x400-c-default.png
    GoProPyongYang-620x340-600x400-c-default.png
    55.5 KB · Views: 175
  • nice-apartment-building-in-pyongyang.jpg
    nice-apartment-building-in-pyongyang.jpg
    90.3 KB · Views: 197
  • North-Korea-scientists-live-in-lavish-apartments-for-free-Pyongyang-says.jpg
    North-Korea-scientists-live-in-lavish-apartments-for-free-Pyongyang-says.jpg
    66 KB · Views: 196
  • pyongyang-yanggakdo-stadium-01.jpg
    pyongyang-yanggakdo-stadium-01.jpg
    38.5 KB · Views: 182
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    19.1 KB · Views: 158
  • Pyongyang_2092986a.jpg
    Pyongyang_2092986a.jpg
    20.2 KB · Views: 156
  • pyongyang8-600x427.jpg
    pyongyang8-600x427.jpg
    34.3 KB · Views: 141
  • north-korea.jpg
    north-korea.jpg
    23.6 KB · Views: 542
  • Untitled-4.jpg
    Untitled-4.jpg
    82 KB · Views: 156
  • pyongyang-stadium.jpg
    pyongyang-stadium.jpg
    60.6 KB · Views: 165
Mkuu yaani hao achana nao kabisa, unavyoiona china, au nchi za asia kaskazini , wanakimbizana nazo, hamna nchi ya kiafrika labda kidogooo afrika kusini inayowapata hao.

Achana na propaganda za vyombo vya habari vya nchi za magharibi , mziki wa hawa jamaa ni mkubwaa, na wanatumia lugha yao tuu ya kikorea, shule zao, na elimu yao, na utafiti wao ni wa hali ya juu, sio hapa tunabishana na kushindana kujua lugha ya kikoloni na tamaduni za waingereza, ambao hawatakaa watutakie mafanikio abadan!
 
Mkuu usipumbazwe na picha za majengo na usinshangae hao watoto pengine ni wa maafsa wa jeshi make ndo wana preveledge ya kula shushu.
Usiwe kama mr dhaifu kupima maendeleo kwa wingi wa magari.
North Korea wanaishi maisha ya huzuni sana tofauti na sisi huku Afrika tunapata muda wa kusurf hadi internet.
 
Mkuu achana na pointi ya kuperuzi intaneti, zungumzia innovations, zungumzia sayansi, zungumzia wataalamu, na tafiti zao, ujenzi wa majengo, vifaa vya kijeshi, mabarabara, nakadhalika, nakadhalika, huku ukizingatia vikwazo vya kufa mtu vya nchi ambazo sisi tunajipendekeza na kuzipapatikia za magharibi, hawa jamaa ni tofauti sana kwa mbali mnooo na wew msurf intaneti na nchi zako hizi zenye, uhuru wa kubishana ujinga kwenye intaneti, angalia kwaafrika wengi wana innovations gani mkuu !
 
Mkuu usipumbazwe na picha za majengo na usinshangae hao watoto pengine ni wa maafsa wa jeshi make ndo wana preveledge ya kula shushu.
Usiwe kama mr dhaifu kupima maendeleo kwa wingi wa magari.
North Korea wanaishi maisha ya huzuni sana tofauti na sisi huku Afrika tunapata muda wa kusurf hadi internet.
Ndugu yangu sijui wewe unakaa wapi ,hivi mtu anaye kunywa uji wa chumvi au anaye kula viwavi asiyejua kesho yake ana amkaje anaishi maisha ya Furaha ? Huzuni wewe umepima kwa ku surf kwenye internet ?
 
Mkuu usipumbazwe na picha za majengo na usinshangae hao watoto pengine ni wa maafsa wa jeshi make ndo wana preveledge ya kula shushu.
Usiwe kama mr dhaifu kupima maendeleo kwa wingi wa magari.
North Korea wanaishi maisha ya huzuni sana tofauti na sisi huku Afrika tunapata muda wa kusurf hadi internet.
Mi naweza kubaliana nawe kama umewahi fika huko NK na ukaona hali yao ya maisha. Ila kwa kutegemea magazeti na web ambazo zinamilikiwa na West hapo itakuwa shida.
 
MKUU YAANI HAO ACHANA NAO KABISA, UNAVYOIONA CHINA, AU NCHI ZA ASIA KASKAZINI , WANAKIMBIZANA NAZO, HAMNA NCHI YA KIAFRIKA LABDA KIDOGOOO AFRIKA KUSINI INAYOWAPATA HAO , ACHANA NA PROPAGANDA ZA VYOMBO VYA HABARI VYA NCHI ZA MAGHARIBI , MZIKI WA HAWA JAMAA NI MKUBWAA, NA WANATUMIA LUGHA YAO TUU YA KIKOREA, SHULE ZAO, NA ELIMU YAO, NA UTAFITI WAO NI WA HALI YA JUU, SIO HAPA TUNABISHANA NA KUSHINDANA KUJUA LUGHA YA KIKOLONI NA TAMADUNI ZA WAINGEREZA, AMBAO HA
masta kuna mtu anaitwa MK254 anakuambia sisi watanzania kiingereza kimetukataa yeye kama mkenya anajisifu kwa kutumia kiingereza sidhani kama hiyo pointi yako atakubaliana nayo
 
Mkuu wakenya wengi huwa wanajisifu na hio lugha ya wazungu, ambao wanawadharau sana, na zaidi ya hapo ukiwa kwenye mataifa yao baada kuzitembelea hizi nchi zetu wao huwa wanasikia raha sana kujifunza lugha pekee ya kiafrika inayozungumzwa na watu wengi, wa mataifa kadhaa, ndio maana umoja wa Afrika chini ya mwenyekiti enzi hizo Joachim Chissano wa Msumbiji waliamua kuwa kiswahili iwe lugha mojawapo rasmi ya umoja wa Afrika (AU).

Sasa ukiwa na pimbi limbukeni mmoja ambae ameamua kwa utumwa wa akili yake kupatitkia lugha za waingereza na tamaduni zao si bure kama ni mwanaume hatosita kuwa shoga siku moja!
 
Mdharau kwao mtumwa nchi haiwezi kuendelea watu wakiwa na mawazo ya kimaskini. Watanzania wengi ambao ni watalaam wenye mawazo ya kimaskini walikwenda ng'ambo kusoma wakaishia huko wakidharau kwao kuwa hamna maendeleo ambayo walitakiwa wayalete wao kwa fursa waliyoipata.

Na hata waliorudishwa kwa ajili ya kusaidia nchi isonge mbele, waliishia kuwa wanyang'anyi wakiiba na kuamisha raslimali kwenda kujengea nchi za ng'ambo.

Na ili kujua watanzania hawataki kuendeleza kwao hata waliopo nchini wakishapata kazi wanatokomea mjini, na wengi hawataki siyo kurudi kujenga kwao tu, bali hata kutoa msaada wa maarifa kwa vijana wenzao huko kijijini jinsi ya kuondokana na umaskini.
 
MKUU YAANI HAO ACHANA NAO KABISA, UNAVYOIONA CHINA, AU NCHI ZA ASIA KASKAZINI , WANAKIMBIZANA NAZO, HAMNA NCHI YA KIAFRIKA LABDA KIDOGOOO AFRIKA KUSINI INAYOWAPATA HAO , ACHANA NA PROPAGANDA ZA VYOMBO VYA HABARI VYA NCHI ZA MAGHARIBI , MZIKI WA HAWA JAMAA NI MKUBWAA, NA WANATUMIA LUGHA YAO TUU YA KIKOREA, SHULE ZAO, NA ELIMU YAO, NA UTAFITI WAO NI WA HALI YA JUU, SIO HAPA TUNABISHANA NA KUSHINDANA KUJUA LUGHA YA KIKOLONI NA TAMADUNI ZA WAINGEREZA, AMBAO HAWATAKAA WATUTAKIE MAFANIKIO ABADAN!
Ni vikwazo tu vimewadidimiza maana kama si vikwazo ina maana wangeruhusiwa vilivo kushiriki kwenye international trade wangekuwa wapo mbali sana.
 
MKUU YAANI HAO ACHANA NAO KABISA, UNAVYOIONA CHINA, AU NCHI ZA ASIA KASKAZINI , WANAKIMBIZANA NAZO, HAMNA NCHI YA KIAFRIKA LABDA KIDOGOOO AFRIKA KUSINI INAYOWAPATA HAO , ACHANA NA PROPAGANDA ZA VYOMBO VYA HABARI VYA NCHI ZA MAGHARIBI , MZIKI WA HAWA JAMAA NI MKUBWAA, NA WANATUMIA LUGHA YAO TUU YA KIKOREA, SHULE ZAO, NA ELIMU YAO, NA UTAFITI WAO NI WA HALI YA JUU, SIO HAPA TUNABISHANA NA KUSHINDANA KUJUA LUGHA YA KIKOLONI NA TAMADUNI ZA WAINGEREZA, AMBAO HAWATAKAA WATUTAKIE MAFANIKIO ABADAN!
Ni vikwazo tu vimewadidimiza maana kama si vikwazo ina maana wangeruhusiwa vilivo kushiriki kwenye international trade wangekuwa wapo mbali sana.
 
Mkuu usipumbazwe na picha za majengo na usinshangae hao watoto pengine ni wa maafsa wa jeshi make ndo wana preveledge ya kula shushu.
Usiwe kama mr dhaifu kupima maendeleo kwa wingi wa magari.
North Korea wanaishi maisha ya huzuni sana tofauti na sisi huku Afrika tunapata muda wa kusurf hadi internet.
How can we prove that? Huwezi kuniaminisha kwamba wanaishi maisha mabovu kama wabongo.. Mnakoseaga sana mnapofananisha kukosekana democrasia na kuishi maisha ya huzuni... Mfano Tanzania kuna maisha gani ya furaha.... Unatakiwa useme kisayansi what made up a good life? Hawa jamaa wana miundo mbinu mizuri, education level ipo juu, technology ipo juu, wapo almost 90% self reliance kutokana na vikwazo na still wame manage kuwa na that level ya development halafu wewe unasema hayo ni maisha ya huzuni.....
 
MKUU ACHANA NA POINTI YA KUPERUZI INTANETI, ZUNGUMZIA INNOVATIONS, ZUNGUMZIA SAYANSI, ZUNGUMZIA WATAALAMU, NA TAFITI ZAO, UJENZI WA MAJENGO, VIFAA VYA KIJESHI, MABARABARA, NAKADHALIKA, NAKADHALIKA, HUKU UKIZINGATIA VIKWAZO VYA KUFA MTU VYA NCHI AMBAZO SISI TUNAJIPENDEKEZA NA KUZIPAPATIKIA ZA MAGHARIBI, HAWA JAMAA NI TOFAUTI SANA KWA MBALI MNOOO NA WEW MSURF INTANETI NA NCHI ZAKO HIZI ZENYE, UHURU WA KUBISHANA UJINGA KWENYE INTANETI, ANGALIA KWAAFRIKA WENGI WANA INNOVATIONS GANI MKUU !
NK ikiondolewa vikwazo leo miaka 3 itazipita nchi zote za asia. Shida yote lakini wanaweza kurusha makombora ya majaribio na kuutisha ulimwengu
 
Mkuu usipumbazwe na picha za majengo na usinshangae hao watoto pengine ni wa maafsa wa jeshi make ndo wana preveledge ya kula shushu.
Usiwe kama mr dhaifu kupima maendeleo kwa wingi wa magari.
North Korea wanaishi maisha ya huzuni sana tofauti na sisi huku Afrika tunapata muda wa kusurf hadi internet.
Kha! Umewahi kufika au ndio umeambiwa na wazungu.
 
NK ikiondolewa vikwazo leo miaka 3 itazipita nchi zote za asia. Shida yote lakini wanaweza kurusha makombora ya majaribio na kuutisha ulimwengu
Acha kujidanganya. Miaka mitatu north Korea iipite china, japan na south korea? Hivi unajua north korea ni kati ya nchi maskini duniani sio asia tu. Hayo makombora yasikudanganye
 
Back
Top Bottom