Uchaguzi 2020 Kwa hiyo Mgombea wa CCM kwenye kampeni atakuwa akiongelea Madaraja tu? Kwake yeye Uhuru wa Raia si agenda

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..

2015 alikutana na mgombea bubu

Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia

Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua

So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?

Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?

CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
 
Kampeni ya Mzee Makamba
Mwaka 2012 Uenyekiti toka kwa Mkapa kwenda kwa Jakaya Kikwete

Mwaka 2012 CCM ya Enzi za Mzee Makamba akitangaza safu ya timu ya ushindi huku kwenye bench kuna kocha na kamati ya ufundi ili kikosi kicheze kama timu kwa kusaidiana, CCM Mpya ya leo haina timu ina mchezaji mmoja, kocha yeye, kamati ya ufundi yeye

Katibu Mkuu mstaafu Mzee Makamba aisifia timu ya wenyeviti wa mikoa : Kaburu kule Kigoma, Shekifu kule Tanga, Madabida kule Dar es Salaam, Joseph Msukuma kule, Mgeja umehangaika sana umelia nyote kama wenyeviti wa mikoa wa CCM ili kumpata kiongozi kwa manufaa ya CCM na nchi, mheshimiwa Jakaya na yeye ni binadamu kama sisi ana mapungufu yake...
 
Kama si huyu:

IMG_20200804_210728_515.jpg

na akapambane na mifugo au mashamba yake tu.
 
Chadema na watu wake ovyo sana, kwahiyo na nyie mgombea wenu atakuwa anaongelea uhuru wa kubwabwaja na yeye kutandikwa risasi tu? Ya ngoswe muachie ngoswe. Magu ana mambo mengi kuna baadhi umeyataja na mengine mara 6 yake ya uliyoyataja. Na mengi yake amesha yatekeleza hakuna ambaye hajui zaidi ya nyie waroho wa madaraka mnaotaka kuingia na porini.
 
Kwenye username hutakuwa umesahau silabi - "to".

Ni kuulizia tu mkuu. Kwa nia njema lakini.
 
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua
 
Kampeni ya Mzee Makamba
Fast forward 2016 Mzee Makamba

Mzee Makamba anasema : Magufuli chagua wasaidizi wakusaidie kazi usifanye kazi pekee yako, wasaidizi wapo wengi usiogope Magufuli.....(ukumbi unazizima kwa nash pa Mzee Makamba) kazi hii ngumu hata Nabii Musa alielemewa na kumlilia Bwana hivyo Magufuli....

23 Jul 2016
-Kikwete anachukia ufisadi kiasi cha kumkata rafiki yake kipenzi, Lowassa. -Askofu Gwajima alisema uongo, kisha anamsingizia Jakaya kuwa amekataa kumuachia Magufuli. -Pengo la jino la dhahabu Jakaya Kikwete linazibwa na jino lingine la dhahabu Magufuli. -Kocha anaondoka lakini hatuachi peke yetu, anatuachia kocha alietupa ushindi uchaguzi ulioupita. -Alichosema Magufuli, amekataa vimemo ikiwemo changu, kuna tofauti kati ya vimemo na ushauri na ushauri wangu ameukubali. -Jakaya aliwabatiza kwa maji, Magufuli atawabatiza kwa moto.
 
Hii ni hatari yaani kwenye halmashauri ya kichwa chako hamna maneno mengine yanayoweza kukufanya uonekane una msaada kwenye jamii inayokuzunguka??
 
CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..

2015 alikutana na mgombea bubu

Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia

Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua

So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?

Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?

CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
IMG-20200806-WA0059.jpeg
 
Kama hajakutuma umsemee ulichoandika kwa kiswahili sahihi kinaitwa u-to-poro.

Wengine huwa wana katana kali sahau hako ka silabi "to".

Ila la msingi ni kuwa tunaendelea kuelewana kwa maana mtanzania wa leo si yule wa jana.
Nimetimiza wajibu wangu

Povu kazi yako
 
CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..

2015 alikutana na mgombea bubu

Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia

Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua

So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?

Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?

CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
Balaa tupu mkuu
 
Back
Top Bottom