kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,990
- 17,879
Hivi hili bara lina laana gani?
Mimi nilidhani Uganda kupata mafuta ndo neema kwa waganda kumbe yanasafirishwa ghafi hadi Ulaya ambapo huko yanaenda kusafishwa kuproccesiwa halaf wanayapaki kwenye vidumu washayalebo wanawaletea waganda kwa kuwauzia kwa lita
Haya mambo tunacheka tu ila yanauma sana,, the same as kenya wamegundua mafuta lakini yote yanaenda kwa mabeberu faida wanabaki nayo mabeberu
Hili ndo lililofanyika kwa gesi ya mtwara ishauzwa na Maccm.........hata bwana yule alivyotaka vile vituo vya kuchenjulia makinikia vijengwe hapa hakua mjinga alishaona lakini mwishowe wakamzidi kete nasikia sahiv yanasafirishwa kama kawaida
Najiuliza hao wanaosaini huu unyonyaji kwanini wasinyongwe ili iwe fundisho?
Same case kwa huyu m7 wa Uganda kawapa mabeberu mafuta sijui kina TOTAL halafu kama zawadi yeye ili aendelee kubaki madarakani
NB(my take)
Mabeberu ni muhimu sana kwa maendeleo yetu na tuwahitaji sana katika maendeleo ila sio kwa jinsi wanavyotunyonya wanatunyonya sana...kunyonywa kupo ila sisi tunanyonywa hadi mifupa....