kwa hiyo kila kifo ni freemason??

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
nashtushwa sana na waandishi wetu uchwara wa magazeti, yaani asife mtu hasa akiwa msanii utakuta kichwa cha habari kikuuuubwa, FREEMASON INAMALIZA WASANII, kwa jinsi nilivoisoma soma freemasoni inakuwaje mtu awe mwanachama afu vi hela vya kuunga unga, nyumba yenyewe ya kupanga alafu wasijue wanawapa umaarufu hao freemason kiasi kwamba hadi inafikia vijana wengi watakata tamaa ya kutafuta na kuona suluhu ya kupata fedha ni kujiunga na hao jamaa....., jamii yetu itangamia... waaandishi wa magazeti wakaguliwe elimu yao kama TCU, inavokagua vyetu vya walimu wanaostahili kufundisha vyuoni
 
hawana heshima na freemasons hao we subiri tu..

Hizi habari huwa zinanikera sana,sasa hivi kama kijana ana mafanikio basi ana mkataba na freemason,halafu wanaosema hawajui hata freemasonry ni nini.shame!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tatizo la shigongo na waandishi wake wa veta! Horrible kwa kweli!
 
Back
Top Bottom