Kwa hisani ya watu wa Fesibuku

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,511
11,271
PESA INA MAJINA MENGI SANA.
Kwenye ibada inaitwa Sadaka/Zaka,
Msibani inaitwa Rambirambi,
Shuleni inaitwa Ada au Karo,
Kwenye Vyombo Vya Usafiri inaitwa Nauli,
Ukinunulia Haki inaitwa Rushwa,
Kumdhaminia Mtu Mahakamani inaitwa Dhamana,Je PESA Unayohonga kwa mpenzi inaitwaje?


Karatu, nitarudi tena...
Mapendo
TANMO
 
Back
Top Bottom