Hebie
JF-Expert Member
- Jul 29, 2012
- 1,415
- 859
Nakumbuka mwaka jana miezi ya mwishoni, John Shibuda MP wa CHADEMA alihudhuria mkutano wa NEC CCM Dodoma sina hakika kama alialikwa ama la.
Alipopata nafasi ya kuongea alisema, mungu akimjalia uzima mwaka 2015 atagombea kiti cha uraisi na kuomba mwenyekiti wa ccm taifa aje kuwa msaidizi wake kumpigia kampeni. kumbuka hakuna kikao cha chama (CDM) ama uchaguzi uliofanyika kupitisha jina la mgombea kiti cha urais.
Leo zitto anaenda kufanya mkutano ambao naamin hauna baraka za chama, na mbaya zaidi maeneo ambayo Dr. Slaa kafanya mikutano muda si mrefu, ni kwa mantiki gani hasa? Huu si ufujaji wa fedha?
Kutafuta umaarufu wa kibinafsi namna ni kubomoa na si kujenga.