Kwa hili Zitto amekuwa Shibuda....

Status
Not open for further replies.

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,415
858
Nakumbuka mwaka jana miezi ya mwishoni, John Shibuda MP wa CHADEMA alihudhuria mkutano wa NEC CCM Dodoma sina hakika kama alialikwa ama la.

Alipopata nafasi ya kuongea alisema, mungu akimjalia uzima mwaka 2015 atagombea kiti cha uraisi na kuomba mwenyekiti wa ccm taifa aje kuwa msaidizi wake kumpigia kampeni. kumbuka hakuna kikao cha chama (CDM) ama uchaguzi uliofanyika kupitisha jina la mgombea kiti cha urais.

Leo zitto anaenda kufanya mkutano ambao naamin hauna baraka za chama, na mbaya zaidi maeneo ambayo Dr. Slaa kafanya mikutano muda si mrefu, ni kwa mantiki gani hasa? Huu si ufujaji wa fedha?

Kutafuta umaarufu wa kibinafsi namna ni kubomoa na si kujenga.
 
Hii amejitengenezea halali ya kufukuzwa yeye mwenyewe.....hata wale walidhani sio msaliti sasa hivi hawana ubishi tena
 
Zitto kweli kawashika vby.poleni sana wakuu

amejishika pabaya yeye na magamba wanaomdanganya. Anajisumbua kuzifuta nyayo za dr.Slaa jambo ambalo litazidi kumdhalilisha. Cdm si genge la wahuni ni taasisi imara inayoendeshwa kwa taratibu na malengo yenye kujibu shida za watanzania.
Hata angefanya mbinu gani, bado sana na huenda akaishia kule kwa nduguye Kabouru.
Namshauri ajitulize tu na aombe msamaha kwa aliyoyafanya vinginevyo aende zake huko asituhamishe kwenye tafakuri ya kufukuzwa kazi kwa mawaziri na hatima ya tembo wetu!
 
Kwanza nipongeze maamuzi ya kamati kuu ya kuwashughulikia wasaliti bila kupoteza muda.

Ili kujenga nidhamu ya kweli ni muda muafaka sasa tukahakikisha mropokaji bwana shibuda ananyooshwa vilivyo ikiwezekana kuliachia jimbo na iwe hivyo.
 
Kwanza nipongeze maamuzi ya kamati kuu ya kuwashughulikia wasaliti bila kupoteza muda.

Ili kujenga nidhamu ya kweli ni muda muafaka sasa tukahakikisha mropokaji bwana shibuda ananyooshwa vilivyo ikiwezekana kuliachia jimbo na iwe hivyo.

Shibuda katuliza mzuka kipindi hiki kukaribia uchaguzi kwa vile ana mengi kichwani vipi aweze kusimama tena kutetea kiti kile wakati alishazipindulia shini meza zote mbili zilizomsaidia kusimama CCM na Chadema. Zitto tatizo utoto ambao amekubali kutumiwa na leo anajutia na hata CCM wakimpa ukuu wa wilaya ataishia yale yale ya akina Kabour kuwa ndoto iliyozimika katika uwanja wa kisiasa kama nilviyosoma kitabu cha fasihi ya kiswahili nakikumbuka kwa kichwa "NJOZI ILIYOPOTEA".

Shaka langu M2 ambaye wanazungukazunguka kutomtaja akina Kitila pengine ni yule makamu mwenyekiti Taifa mzee na Mbunge wa Mpanda, amekuwa kipepeo kinachorukaruka huku na kule tabia isiyoendana na utu uzima wake hata bila aibu mara kadhaa kutupa kadi yake ya uanachama na hatimaye karibuni kubwaga manyanga. Ana Tatizo la kuzeeka vibaya.
 
Kwanza nipongeze maamuzi ya kamati kuu ya kuwashughulikia wasaliti bila kupoteza muda.

Ili kujenga nidhamu ya kweli ni muda muafaka sasa tukahakikisha mropokaji bwana shibuda ananyooshwa vilivyo ikiwezekana kuliachia jimbo na iwe hivyo.

Nafikiri anayefuta ni MBOWE kwa kupewa fedha na rostam azizi ili kuihujumu CHADEMA
 
Chadema sasa kwishneyiiiiiiii, hatushangai sisi wenye ukomavu wa siasa, nawahakikishia wana JF, angalieni na kusoma hoja au michango ya wana-cdm uchwara utaona wanaandika; mara buku7 huyo, maccm hayo, magamba huyo, fisadi, kazeeka vibaya huyo, na matusi kadha wa kadha. Sasa swali Slaa ni kijana? Mtei yuko Bavicha?, Baregu yuko sekondari anasoma?, viongozi wote wa cdm kumuacha Zitto wote ni pro-ccm mbona hamjawatukana na kuwaambia maccm, magamba n.k, Chadema Chali Shaban Mambo alipigwa kwenye mkutano wa Kamati kuu uliomalizika hivi karibuni tena mbele ya Mbowe, Mwigamba alipigwa mbele ya Mbowe na kunyang'anywa Labtop yake, Ludovick akipigwa mbele ya Mbowe Ubungo Plaza, Je tuamini kwamba Mbowe hupanga uchafu huu wa viongozi wengine kuadhibiwa kwa kipigo? Kama ndivyo kwa Zitto wamechemsha labda hakutokea Mwandiga, wamuulize mtu mmoja alitumia mkono wake kumsonda Zitto, alijuta kuzaliwa! , Sembuse ka-mbowe, ka-slaa,ka-lisu na tu-mnyika, tu-wenje,tu-lema. Maviiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom