Kwa hili wamefanikiwa maana si wote wana ujasiri wa kwenda dukani kununua condom

HSIRAJI

JF-Expert Member
May 28, 2019
743
1,523
Habarini wakuu,

Hatimaye mashirika yanao husika na HIV/AIDS wameamua kutuwekea ATM za kuchukulia condom bure bila gharama yoyote; yaani wewe ni kwenda na kuchukua zana za kazi na kwenda kazini.

All in all, kwa hili wamefanikiwa maana sio wote Wana ujasiri wa kwenda dukan kununua condom so wabarikiwe sana wahusika

HONGERENI SANA WAZINZI

IMG_20210213_203527_468.jpg
 
Ndugu yangu usijiloge kutumia hizo kondom za zana na kondom za bei chee/bure kwa ujumla. Tackle mbili tatu tayari zinapasuka.
 
Habarini wakuu.........

Hatimae mashirika yanao husika na H I V na AIDS wameamua kutuwekea atm za kuchukulia condom bure bila gharama YOYOTE yaani wewe ni kwenda na kuchukua dhana za kazi na kwenda kazi I

All in all KWA hili wamefanikiwa maana sio wote Wana ujasiri wa kwenda dukan kununua condom so wabarikiwe Sana wahusika

HONGERENI SANA WAZINZIView attachment 1701989
Moods wamebadili headline YANGU DUH jf inataka kuwa Kama bunge tuzungumze yanayompendeza mkulu tu et duh,

(WHERE WE DARE TO TALK OPENLY). What the meaningful
 
Tatizo sio kubuni wazo, tatizo Consistency ya kuweka hizo shits kilasiku humo.
 
Vipi ukienda kutoa halafu zikagoma kutoka! Au ukaambiwa zimeisha? Mbaya zaidi unakuta mida yenyewe ni ya hatari! Si watasababisha Mabaharia kuuza mechi?🏊
 
Habarini wakuu.........

Hatimae mashirika yanao husika na H I V na AIDS wameamua kutuwekea atm za kuchukulia condom bure bila gharama YOYOTE yaani wewe ni kwenda na kuchukua dhana za kazi na kwenda kazi I

All in all KWA hili wamefanikiwa maana sio wote Wana ujasiri wa kwenda dukan kununua condom so wabarikiwe Sana wahusika

HONGERENI SANA WAZINZIView attachment 1701989
Mgeni hapa mjini?
Unatoka Bariadi kama mimi?
 
Back
Top Bottom