Kwa hili vipi wadau...limekaaje?

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Kama katiba mpya itakuja na serikali tatu, hakika Chadema lazima iingie ikulu kati ya kinyang'anyiro kimojawapo cha urais wa bara/au muungano,kwani chadema watasimamisha mgombea kwa ajili ya muungano/ au bara.
Natabiri ushindi wa kishindo hususani kwa rais wa Bara,kwani hazina ya kura za Zanzibar haitakuwepo kwa CCM,kwani ushindi wao ni ziada ya kura zanzibar. Nawasilisha!!
 
bara-------cdm
znz--------cuf

hakuna muungano president!
 
Sema Tanganyika. Hivi nyie watu hiyo nchi ya bara ndo ipi? Ningekuwa na uhusiano nao ningewaambia Waliberali wawaambie mkome, huku vidole vyao vikiwa juu na sauti zao wakizibana kama nanihii yule alivyofanya kule mjengoni. Teh teh teh, bahati mbaya mimi sina ushirika na Waliberali wetu.
 
Back
Top Bottom