Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!!

Kaka!... Mada yako ni nzuri sana!... Lakini ngependa kujua we ni dini gani ambayo haikemei mavazi yasiyo ya heshima??
Kwamaana mada yako inamaananisha dini nyingine zote zinaruhusu isipokua waislam tuu!!..
Hata Kakobe anakemea mavazi yasiyofaa!...
 
Ni ughaibuni ipi unayoizungumzia?
Summer si sababu ya kuvaa nusu uchi!! Mwanamke anapovaa kibukta kinachokomea kwenye mapaja anakuwa amepunguzaje joto?
Libya, Algeria, Saudi Arabia, OMAN kuna Joto. Mbona hawavai vimini?

Hata wao wa kwenye hizo nchi wanavaa tu kwa kulazimishwa na sheria ila hawapendi, sheria inawabana. Lakini kiukweli joto wanalisikia kama kawaida tu. Nusu uchi si vizuri lakini kwa hijabu ndugu hapo sikubaliani nawe kabisa.
 
Nimefuta Kipengere cha Hijabu:
Wavae Ngupo zinazovuka magoti; Blause/gauni zinazofunika vizuri kifua maalum!
 
Ndugu Zetu waislam wamekuwa wapambanaji wazuri sana kushinikiza akina mama/dada wavae nguo za staha! Sikuwahi kutafakari kwa kina sababu za hawa ndugu zetu kukomalia suala la mavazi ya staha kwa akina dada hadi hii leo majira ya saa tisa hivi nlipokuwa nimesimama kwenye walkway ya pale Benjamini Mkapa Pension Towers. Nilichoona Mwenyezi mungu na Wa-TZ wengine waloona tunajua!! ilikuwa ni balaa na fedheha KUU!!

NAONA NI WAKTI SASA ITUNGWE SHERIA ITAKAYOAMURU AKINA DADA WASIVAE NGUO ZINAZOKOMEA JUU YA MAGOTI AU KUACHA VITOVU NJE AU KIACHA SEHEMU YA VIONJO VYA MATITI WAZI AU KUBANA MAKALIO HADI LOL!!!!

KIFUPI WOTE WAVAE BAIBUI!!!!

unaweza kukuta waliovaa hizo nguo fupi ni akina Fatuma, Hadija, Zainabu, nk. Jambo jingine ni kwamba hizo nguo za kininja hutumika kufanya ugaidi kwa kuficha mabomu ya kujilipua muhanga! Msishabikie mauti yenu!
 
Kweli lakini wanzinzi wengi ni hao wavaa vificha sura!

hakuna jamii inayonuka kwa ngono kama hiyo mnayosema inavaa hijabu!

Yale ni matendo ya moyo
Mh nimepata shida kidogo kuelewa ulichokimaanisha.miongoni mwa nchi zenye maambulizi madogo ya ukimwi ni Saud Arabia na ndio nchi inayoongoza kwa uvaaji wa hijab, na nchi zenye maambukizi makubwa ya ukimwi moja wapo ni Marekeni na ndio nchi inayoongoza kwa uvaaji wa nusu uchi na pia ndio nchi inayoongoza kwa kuhalalisha ngono na pia inaongoza kwa Kubakana. Sina nia mbaya Mkuu wala usinifikirie vibaya na kama nimekuudhi sorry.
 
unaweza kukuta waliovaa hizo nguo fupi ni akina Fatuma, Hadija, Zainabu, nk. Jambo jingine ni kwamba hizo nguo za kininja hutumika kufanya ugaidi kwa kuficha mabomu ya kujilipua muhanga! Msishabikie mauti yenu!
Mh sidhani kama umesema kweli, hebu nihabarishe vizuri ni wapi yametokea hayo na hata kama yametokea nisahihi kweli kulituhumu vazi kwa matendo hayo yakigaidi? hivi ugaidi wote unafanywa na wavaaji Hijab?au Nikab(ninja)?That is not Fair Ndugu.
 
Hayo mambo yametokea na kila siku tunayaona na kuyasikia kwenye vyombo vya habari hasa nchi za kiarabu, na vilevile ni mavazi yanayotumiwa na majambazi kufanyia uharifu hata hapa TZ matukio kama hayo yamesharipotiwa. Mimi naamini hayo mavazi hayasitahiri kabisa na ninasema hivyo kwa sababu wote wanaovaa nikabu wakiingia sehemu yoyote (ofisi,madukani,hospitalini) wanalazimika kuyavua hayo manikabu. Mimi naona huu ni utumwa usio na ulazima hata kama ni imani hapo imepitiliza maana nimeshaona sehemu mbalimbali ikiwemo Unguja na Pemba kwa mwanamke aliyevaa nikabu hata kama ataingia dukani kwa Sheikh,Imam ni lazima atoe hilo nikabu aonekane sura yake. Naungan mkono kwa wanawake kuvaa nguo za staha lakini sio nikab ni mateso tu maana unakua huna hata uhuru how come ukienda baadhi ya sehemu unalazimika kuvua?
 
Naam umenena vyema. sidhani kama ni kweli mwanamke anevaa nikab ni lazima aivue anopoingia dukani maana mimi pia nimeishi na nimeshuhudia wanawake wengi hawazivui na pia katika uislam mwanamke anaruhusiwa kuacha uso wazi.unaposema ni utumwa unakua hauko sahihi kwa sababu wanovaa hivyo wamependa wenyewe. jambo jingine ni kua umeni cout vyema lakini sijajua umefanya hivyo kwa kunijibu kitu Gani hasa!Hivi mtu akivaa nguo ya kisista au ya kipadri au ya kihindu au ya kibudha au kanzu na kofia na akafanya ugaidi anayetakiwa kuhukumiwa ni yeye au vazi lake au dini yake?kuhusu mabomu ya kujitoa muhanga mara nyingi wanofanya hivyo hua wamevaa makoti makubwa au mavazi yanayoendana na mahali anapoenda kufanya tukio (mfano:kama ni offisini atavaa suti ili asiweze kubainika kwa urahisi) sio ninja maana sidhani kama kuna mtu anayeweza kuficha bomu kwenye ninja.Ugaidi ni hulka ya mtu binafsi sio mavazi. Sorry if i hat ya filnz
 
mohajaba.gif
 
Mh sidhani kama umesema kweli, hebu nihabarishe vizuri ni wapi yametokea hayo na hata kama yametokea nisahihi kweli kulituhumu vazi kwa matendo hayo yakigaidi? hivi ugaidi wote unafanywa na wavaaji Hijab?au Nikab(ninja)?That is not Fair Ndugu.
"Are you forced to wear it? What happens if you take it off? Are you ever allowed to take it off? Do you shower w/ it?"
 
Ndugu Zetu waislam wamekuwa wapambanaji wazuri sana kushinikiza akina mama/dada wavae nguo za staha! Sikuwahi kutafakari kwa kina sababu za hawa ndugu zetu kukomalia suala la mavazi ya staha kwa akina dada hadi hii leo majira ya saa tisa hivi nlipokuwa nimesimama kwenye walkway ya pale Benjamini Mkapa Pension Towers. Nilichoona Mwenyezi mungu na Wa-TZ wengine waloona tunajua!! ilikuwa ni balaa na fedheha KUU!!
NAONA NI WAKTI SASA ITUNGWE SHERIA ITAKAYOAMURU AKINA DADA WASIVAE NGUO ZINAZOKOMEA JUU YA MAGOTI AU KUACHA VITOVU NJE AU KIACHA SEHEMU YA VIONJO VYA MATITI WAZI AU KUBANA MAKALIO HADI LOL!!!! KIFUPI WOTE WAVAE BAIBUI!!!!

kwani imani ya kikristo inaruhusu mavazi ya namna hiyo? i mean mavazi yasiyo na staha.
 
Kusema kweli mimi sielewi kwa nini upate mhemko ukimuona mdada kaacha kitovu nje.. ni tamaa tu, jifunze kuzitawala.
Suala la mavazi tuliache kila mtu awe na uhuru ilimradi dress code inazingatiwa maofisini, nyumba za dini na maeneo mengine husika lakini kama ni mtaani kila mtu aachiwe achague nini anatakiwa kuvaa.
 
Kila mtu ana uhuru wake mwache mtu avae jinsi anavyotaka au anvyojisikia kwa maana nyingine hauna ndoto za kuishi ulimwengu wa kwanza ukikanyaga tu wanakurudia airport..jaribu kuondoa mawazo yako gizani kama Tanzania isivyokuwa na umeme wa Tanesco
 
Wadau,
nadhan mnachanganya vi2 hapa.mada ni mavazi ya staha km wavaovyo waislam.waislam hapa wame2mika 2 km mfano au case study.suala la ugaidi linafikaje hapa?
Tuukubali ukwel kua jamii ya tanzania imekua waigaji wa kila kinachoingia dunian bla hata kuzingatia mila,desturi na thaman ya mwanamke.hv bint anavyaa"sex nyonyo" na kuacha 3/4 ya matiti yake wazi,halaf eti apewe uhuru avae atakavyo,huo c uhuru ni utumwa wa fikra potevu za kimagharibi..HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA.
 
Ni bahati mbaya sana biblia ni kitabu cha mifano hai ya tabia za kimashariki, lakini wengi wa wakristo wameangukia kuiga tabia za kihollywood(magharibi). Zinazouweka ukristo [sii Kristo] uchi!

.
 
Kama wewe uko Dsm, ujue kuwe asilimia kubwa ya wadada unaokutananao wamevaa vimini/matiti nje ni waislam.
Ndugu Zetu waislam wamekuwa wapambanaji wazuri sana kushinikiza akina mama/dada wavae nguo za staha! Sikuwahi kutafakari kwa kina sababu za hawa ndugu zetu kukomalia suala la mavazi ya staha kwa akina dada hadi hii leo majira ya saa tisa hivi nlipokuwa nimesimama kwenye walkway ya pale Benjamini Mkapa Pension Towers. Nilichoona Mwenyezi mungu na Wa-TZ wengine waloona tunajua!! ilikuwa ni balaa na fedheha KUU!! NAONA NI WAKTI SASA ITUNGWE SHERIA ITAKAYOAMURU AKINA DADA WASIVAE NGUO ZINAZOKOMEA JUU YA MAGOTI AU KUACHA VITOVU NJE AU KIACHA SEHEMU YA VIONJO VYA MATITI WAZI AU KUBANA MAKALIO HADI LOL!!!! KIFUPI WOTE WAVAE BAIBUI!!!!
 
Back
Top Bottom