katika nchi ya wastaarabu au free world watu wanakuwa na uhuru wa kuchagua wavae nini. hii tabia ya kumwona mwanamke kama chombo cha sex kwa hiyo tumfunike hadi usoni ili watu wasimtamani haina nafasi kwetu. mwanamke yupo huru ila pia sheria iwe kali kuwadhibiti wale ambao hawawezi kuzuia tamaa zao. nenda marekani ufanye abuse ya mwanamke anayeenda nusu uchi uone