Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papa D, Mar 3, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu Zetu waislam wamekuwa wapambanaji wazuri sana kushinikiza akina mama/dada wavae nguo za staha! Sikuwahi kutafakari kwa kina sababu za hawa ndugu zetu kukomalia suala la mavazi ya staha kwa akina dada hadi hii leo majira ya saa tisa hivi nlipokuwa nimesimama kwenye walkway ya pale Benjamini Mkapa Pension Towers. Nilichoona Mwenyezi mungu na Wa-TZ wengine waloona tunajua!! ilikuwa ni balaa na fedheha KUU!!

  NAONA NI WAKTI SASA ITUNGWE SHERIA ITAKAYOAMURU AKINA DADA WASIVAE NGUO ZINAZOKOMEA JUU YA MAGOTI AU KUACHA VITOVU NJE AU KIACHA SEHEMU YA VIONJO VYA MATITI WAZI AU KUBANA MAKALIO HADI LOL!!!!

  KIFUPI WOTE WAVAE BAIBUI!!!!
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  O.k. mkuu lakini hili swala ni la kisiasa kivipi?
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nadhani anamaanisha kimaadili zaidi.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuwapiga mawe nayo vipi?
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mod hamisha hii habar, iende knye jukwaa la mahusiano, mambo ya jamii au habar mchanganyko. hapa tunaongelea siasa tu!
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 6,027
  Trophy Points: 280
  Wote wavae baibui? Mbona umesha-conclude? Siungi mkono watu kutembea utupu lakini huna mamlaka ya kuiamulia jamii nzima aina ya mavazi wanayotakiwa kuvaa. Ulipaswa tu kusema "wavae mavazi ya staha" na si "wavae baibui".
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Michuzi atakufa njaa.....

  [​IMG]
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii ndio solution murua, tukiwachapa mawe watatu wengine wote watajirekebisha bila kupenda!!!
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Sio michuzi tu na waandishi wote wa magazeti ya udaku kwishnei!!!
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hizo ni tamaa zako tu ndugu mavazi yahitaji kuendana na hali ya hewa, kwa far joto liko juu sana sioni cha ajabu wakivaa nguo zinazoruhusu hewa kupita na sio kuhifadhi joto mwilini.tembea kidogo nje ya tz ushuhudie.mfano huku ughaibuni wkt wa summer wanavaa nusu uchi kabisa na unaona ramani yote ya mwili tena wana maungo kama kina dada wa kibongo,hakuna anaeshangaa,kwann tushangae bongo?????????????/
   
 11. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni ughaibuni ipi unayoizungumzia?
  Summer si sababu ya kuvaa nusu uchi!! Mwanamke anapovaa kibukta kinachokomea kwenye mapaja anakuwa amepunguzaje joto?
  Libya, Algeria, Saudi Arabia, OMAN kuna Joto. Mbona hawavai vimini?
   
 12. H

  Hassanali Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe brother hujawahi enda beach? nenda beach ukazoee kuwaona wasichana wakiwa na chupi na sidiria tu. uwaone wengi hadi uzoee uone kawaida. au la usiwaangalie. wewe utakuwa ndio umeingia mjini.
  waache wasichana wapunge hewa bwana. joto jingi, hakuna hata na viyoyozi vya kuwapoza sababu ya mgao.
  yakikushinda amia afghanistan ukakodolee macho ndevu za taliban sababu wanawake kule hata kutoka nje tabu.
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hata huko kwenye sheria za kutwangana mawe nafikiri hawapopoi tu kama embe. Nahisi tusifikie huko, kama tungelianza mmoja mmoja majumbani mwetu kwa watoto, ndugu na jamaa zetu hili tatizo lingeliondoka.
  Mara nyengine hukutana na mambo kama hayo kuhusu mavazi na matendo mengine (wavulana na wasichana) na kujiuliza, "hivi kweli huyu hana wazazi, ndugu au jamaa wa kumwelekeza?
  Maadili ya Tanzania yanaporomoka. Bado hatujachelewa, sadaka ianze nymbani, majumbani mwetu.
   
 15. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Joto kwa wanawake tu mbona wanaume wanavaa surual kama kawaida
   
 16. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Wanangu mtoa hoja na wanao muunga mkono tatizo lao ni tamaa zenye upofu au kutokuwa na cha kufanya na kubakia huyu kavaa vipi!
  Kama ni tamaa inatoka rohoni ndio sababu mwingine akiona aliye vaa nusu uchi anakufa tamaa kwa kujua huyu ni malaya. Mwingine mwanamke akijistiri ndipo tamaa inaanya kuwaka.
  Kila mtu ahaingikie maisha yake si kuangalia mtu mwingine kala kavaa nini! tuache mawazo ya utupu.
   
 17. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna haja kweli kwa akina dada kuvaa vizuri na kujisitiri but buibui its nt a solution. Kuna mchezo mchafu unachezwa na hawa wavaa buibui mchana atavaa hiyo buibui lakini usiku yupo street amevaa vimini na ni kazi kumtambua. Maadili ndio jambo muhimu la kusisitiza ktk jamii
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Amnesty na Tamwa watawaacheni?
   
 19. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kwani huyo dada ni mkristo hadi mavazi ya kiislamu yaungwe mkono?
   
 20. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Ufaransa ukivaa hijab huruhusiwi kuendesha gari! Hata mimi sikubali kupanda gari linaloendeshwa na dereva aliyevaa hivyo.
   
Loading...