Kwa hili TRA mmechemka

May 28, 2011
63
58
Tangazo la TRA linalohimiza watu kulipa kodi lina kasoro kwa kutumia watoto ambao kwa sheria ya mikataba hawana uwezo wa kuingia katika mauziano hata kama wametumwa.
 
hilo tangazo limebuniwa na wataalam wa sheria za kodi...

msilitoe kasoro, ubunifu wao ndio umeishia hapo.
 
Eti, hivi mnaopenda kutuma watoto madukani, mnawaambia juu ya risiti? Au mkiwapa pesa wakanunue vitafunio sijui ice cream inakuwaje, mnawafunza? Mapema muhimu...
 
Tangazo la TRA linalohimiza watu kulipa kodi lina kasoro kwa kutumia watoto ambao kwa sheria ya mikataba hawana uwezo wa kuingia katika mauziano hata kama wametumwa.

Naomba kipengele hicho au nakipatia wapi. nisome niyajue.
 
Back
Top Bottom