Kwa hili Tanesco wanatupeleka kwenye ulimwengu wa Kidigitali au wa kianalogia???????!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili Tanesco wanatupeleka kwenye ulimwengu wa Kidigitali au wa kianalogia???????!!!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Jul 19, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kwa miezi michache huku nyuma tulisikia mikakati ya Tanesco ni kufunga mita za luku kwa wateja wake kwa nchi nzima.Ili kuondoa wimbi la wadaiwa sugu wa shirika hilo hasa sekta za serikali na viwanda vikubwa. Lakini cha kushangaza na kusikitisha sasa hivi naona wameanza tena kuturudisha kule tulikotoka wanafunga tena yale mamita yao ya kuzunguka ya zamani. Kwa nionavyo mimi hivi shirika linawatendaji wenye akili timamu au ni mambumbmbu ndo wanaliendesha shirika hili Inasikitisha sana umesoma hadi chuo kikuu na umeanza kula matunda mazuri ya elimu yako tena unarudi kutamani kurudi kuanza kusoma chekechea.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kuna nchi inaitwa Tanzania, huko mambo haya wala si ya ajabu.

  Nadhani utakuwa ni mgeni, ukiendelea kuwepo hapo utazoea na utagundua wala siyo kitu kikubwa kama unavyodhani.

  Watakabahu
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu hivi ahadi zinazotolewa kwenye nchi hii unaziamini?
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  None!!!
   
Loading...