Elections 2010 Kwa hili surely chadema wamepotoka au wamepotea njia

Oct 21, 2010
23
0
Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na falsafa ya kitanzania kuwa hili ni kosa kubwa , kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi, sasa nimeamua kuja JF ambapo bila shaka kuna wanachadema wengi narudia tena kuwaasa na kuwaonya kuwa hata siku moja ngumi sio hoja na kamwe haiwezi kuwa hoja duniani hata kuzimu , ngumi ni fujo, ugomvi na vita full stop.
 
Unakumbuka enzi za "Kidumu Chama Cha Mapinduzi?"

Si nyie-nyie mulikuwa munakunja ngumi hadi munajamba?

Acheni unafiki

Hapa Chademe tu. Hata museme nini.
 
licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na falsafa ya kitanzania kuwa hili ni kosa kubwa , kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi, sasa nimeamua kuja jf ambapo bila shaka kuna wanachadema wengi narudia tena kuwaasa na kuwaonya kuwa hata siku moja ngumi sio hoja na kamwe haiwezi kuwa hoja duniani hata kuzimu , ngumi ni fujo, ugomvi na vita full stop.
Wa tz ni watu wa amani hiyo has nothing to do kwa wa tz. Usiwe na shaka no ugonvi kabisa uwe na amani
 
Alama ya chadema ni ya kunyoosha vidole viwili juu. Na hii katu si ngumi. Lakini wale wa CCM hukunja ngumi kamili na kuinua kidogo dole gumba. kama hii hapa: :A S thumbs_up: Kwa mtizamo wa harakaharaka, unaweza kuona kwamba wanaokunja ngumi ni CCM na si CHADEMA. Chadema wananyosha vidole viwili juu kuonyesha tupo pamoja.
 
Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na falsafa ya kitanzania kuwa hili ni kosa kubwa , kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi, sasa nimeamua kuja JF ambapo bila shaka kuna wanachadema wengi narudia tena kuwaasa na kuwaonya kuwa hata siku moja ngumi sio hoja na kamwe haiwezi kuwa hoja duniani hata kuzimu , ngumi ni fujo, ugomvi na vita full stop.

Ulikuwa huna kazi
 
Unakumbuka enzi za "Kidumu Chama Cha Mapinduzi?"

Si nyie-nyie mulikuwa munakunja ngumi hadi munajamba?

Acheni unafiki

Hapa Chademe tu. Hata museme nini.

Duh! Ni kweli kabisa! Umemmaliza jamaa kwa pigo moja tu. Safi sana. Songa mbele achana naye kwani kwa pigo hilo hataamka tena.
 
si ndo maana hata kaslaa jana kalivunja kanuni ya muda wa kampeni pale mwanza huku akiwaambia wanachadema hakuna askari wa kumshusha jukwaani?? afadhali mgombea mwenza wao yuko kimya anajipiga inglish coz pale UNGUJA,hataki fujo na mtu ndio maana hata kwenye kampeni hayumo!
 
Search:

Type: Posts; User: Bingwa wa hoja; Keyword(s):

Search: Search took 0.00 seconds.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

You sound very useless, on a mission impossible! Find another avenue, you are unfortunately in the wrong lane!

Nimeku_thank hapo juu naona haijatosha, Thanx again. Sio wakati wa upupu huu, naona JF kumevamiwa!!
 
kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi,
Tupe ushahidi wa hii hoja kwanza kwani mimi ni mtanzania lakini hiyo tafsiri yako ni ngeni na wala haingii kichwani hata kidogo.......Halafu kuanzi lini alama ya v ikawa ngumi.......................be serious or ship out........................
 
Search:

Type: Posts; User: Bingwa wa hoja; Keyword(s):

Search: Search took 0.00 seconds.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

You sound very useless, on a mission impossible! Find another avenue, you are unfortunately in the wrong lane!

Hayo ni mawazo yako. Which is the right lane then???
Toa hoja sio kejeli...
 
Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na falsafa ya kitanzania kuwa hili ni kosa kubwa , kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi, sasa nimeamua kuja JF ambapo bila shaka kuna wanachadema wengi narudia tena kuwaasa na kuwaonya kuwa hata siku moja ngumi sio hoja na kamwe haiwezi kuwa hoja duniani hata kuzimu , ngumi ni fujo, ugomvi na vita full stop.

Maadili ya Kitanzania yakoje hayo? Kwani CCM kuimba "Wapinzani tuwalete tuwachachane, tuwatupe..." ndiyo maadili ya Kitanzania?
 
Back
Top Bottom