Kwa hili, STRABAG imewavua nguo macontractors feki wa kibongo

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Ukweli uko hivi kwa jinsi hawa wajerumani STRABAG wanavyojenga mabarabara ya kisasa na kuendelea kula tenda za nguvu za serikali inadhihirisha kuwa bongo wamejaa ma contractors uchwara ndio maana wanabakia kujenga vibarabara vya uchochoroni kule Tandale, Buguruni na Buza lakini kazi zote za maana wanakula STRABAG.

Hawa jamaa wanapiga mzigo 24 hrs na wana mashine za maana. Sio wabongo wamejaa ubabaishaji kibao na usanii ndio maana tenda za maana zinawapita pembeni.

Ushauri wa bure kwa macontractors wa kibongo ni kwamba wachukue somo kamili kutoka STRABAG, pili waache ubabaishaji kwenye kazi mpaka nakumbuka enzi za KAJIMA na KONOIKE.
 
unajua kandarasi yao wamelipwa bei gani kulinganisha na wazalendo!?
Kuna local contractor mmoja hata laki tanio ya kulipa vibarua anaishindia manispaa wanamzungusha eti atumie pesa yake watamrudishia, unajua makandarasi wazalendo wanaidai serikali kiasi gani!?
 
Ni kweli Jamaa wanapiga mzigo wa maana.

Tatizo la wazalendo ni kwamba wao wenyewe umoja wa kusaidiana hawana.
Unakuta mtu akipata Tender anataka kila kitu afanye yeye.
Haya makampuni makubwa yanayokuja hapa ndani yake kuna miamvuli mingi sana mpaka kuweza kuwa wanafanyavizuri.

Halafu issue ya suala la kwamba kushindwa pesa sio hoja sana,maana BOT wanatoa Mkopo kama umeshinda Tender.
Na hii nahisi Bank nyingine zimeanza kufanya hivi.

Suala la Wazalendo aisee kwenye umakini ni sheeda,yaani akili inakaa kupiga dili bila kujua kesho nitapata nini.
Sio wote ila wapo Baadhi wamefanya Vizuri sana tu,na wanakula Tender mikoani huko.
 
Madeni hewa tu hayo ndio maana serikali hailipi kwa wakati maedi yakuongeza zero
 
Nawakubali sana hata nadhani watapiga sana zile tenda za mbeleni watapiga sana
 
mkuu ni ya austria makao yao ni vienn, but nawao wanaongea kijeruman pia....I mean geographical location ya kuanzishwa ni austria in 1835 then later on shifted to Stuttgart.
 
mbona hawamalizi hizo barabara
kazi yao ni kero hata kuja Dar sipatamani tena
huku kuna Nyanza Road Consruction wangepewa huo mshiko mbona wangemaliza
Jina la kutoka Nje lisikutishe kwani vibarua wote na Vidampa ni Watanzania
hiyo miMashine wa Tanzania wanayaendesha
 
Unawacheka wakandarasi wazalendo wakati hujui hiyo barabara ya STRABAG imepewa pesa ngapi.
Wao wanajenga kufuata design kwahyo hakuna chochote wanachofanya ambacho mtanzania angeshindwa.
Watanzania wanaunga kwasababu wanapata tenda ndogo sana na mbaya zaidi hawalipwi kwa wakati ndio maana unaona wanatumia vifaa vya kuungaunga kwasababu hawana hela.
Wape hela uone maajabu ya watanzania.
 
Ukiigusa STRABAG umeigusa ikilu na CCM..Kinana ni mbia wa hiyo kampuni..
 
Wanachokosa wetu n fedha mpwaa shukuruhataza bugurun

Tends yenyewe kushinda wanataka robo ya mzigo unaopewa kwamakubaliano jenga unavyojua eng wakija kukagua wataipitisha ndio mimba tunayopigwa hataa hivyo tushukuuru kwa yote
 
Ukweli uko hivi kwa jinsi hawa wajerumani STRABAG wanavyojenga mabarabara ya kisasa na kuendelea kula tenda za nguvu za serikali inadhihirisha kuwa bongo wamejaa ma contractors uchwara ndio maana wanabakia kujenga vibarabara vya uchochoroni kule Tandale, Buguruni na Buza lakini kazi zote za maana wanakula STRABAG. Hawa jamaa wanapiga mzigo 24 hrs na wana mashine za maana. Sio wabongo wamejaa ubabaishaji kibao na usanii ndio maana tenda za maana zinawapita pembeni. Ushauri wa bure kwa macontractors wa kibongo ni kwamba wachukue somo kamili kutoka STRABAG, pili waache ubabaishaji kwenye kazi mpaka nakumbuka enzi za KAJIMA na KONOIKE.

Asante kwa kutambua juhudi zetu tutahakikisha tuna wajengea barabara za hadhi ya kimatifa na kujenga nchi yenu
 
mkuu ni ya austria makao yao ni vienn, but nawao wanaongea kijeruman pia....so geographical location ni austria.

Mimi nilikuwa najua Ni wajeruman,hata hiyo Austria,Luxembourg na Poland zimepakana Germany,nafikiri Austria ilikuwa sehemu ya Germany zamani.kudos to the scorpions (Germany rock music band)
 
Ni kweli Jamaa wanapiga mzigo wa maana.

Tatizo la wazalendo ni kwamba wao wenyewe umoja wa kusaidiana hawana.
Unakuta mtu akipata Tender anataka kila kitu afanye yeye.
Haya makampuni makubwa yanayokuja hapa ndani yake kuna miamvuli mingi sana mpaka kuweza kuwa wanafanyavizuri.

Halafu issue ya suala la kwamba kushindwa pesa sio hoja sana,maana BOT wanatoa Mkopo kama umeshinda Tender.
Na hii nahisi Bank nyingine zimeanza kufanya hivi.

Suala la Wazalendo aisee kwenye umakini ni sheeda,yaani akili inakaa kupiga dili bila kujua kesho nitapata nini.
Sio wote ila wapo Baadhi wamefanya Vizuri sana tu,na wanakula Tender mikoani huko.

Hawa STRABAG ni kimeo sana barabara zao ziko chini ya kiwango,cheki barabara ya korogwe Mombo yani ile barabara haina hata miaka miwili tayari imeanza kudidimia na kuweka mabonde mabonde,yani mpaka mwakani ile barabara itakua kama ya chalinze dar.hii nchi tunaliwa sana mamamaee
 
Ni kweli Jamaa wanapiga mzigo wa maana.

Tatizo la wazalendo ni kwamba wao wenyewe umoja wa kusaidiana hawana.
Unakuta mtu akipata Tender anataka kila kitu afanye yeye.
Haya makampuni makubwa yanayokuja hapa ndani yake kuna miamvuli mingi sana mpaka kuweza kuwa wanafanyavizuri.

Halafu issue ya suala la kwamba kushindwa pesa sio hoja sana,maana BOT wanatoa Mkopo kama umeshinda Tender.
Na hii nahisi Bank nyingine zimeanza kufanya hivi.

Suala la Wazalendo aisee kwenye umakini ni sheeda,yaani akili inakaa kupiga dili bila kujua kesho nitapata nini.
Sio wote ila wapo Baadhi wamefanya Vizuri sana tu,na wanakula Tender mikoani huko.

Mambo yote ilikuwa MECCO angalia, Soko la Kariakoo, jengo la kitega uchumi, Kilimanjaro hotel,
 
Back
Top Bottom