Video: Kwa hili sijamuelewa Askofu Gwajima

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
535
1,747
Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha.

Naomba ufafanuzi.

Huwezi kumwelewa kama haupo kwenye lile genge.
 
Utamwelewaje wakati anachoongea hapo sio kikristo na wala hakihusiana na Kristo.
Amepandwa na roho mchafu.
 
Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha.

Naomba ufafanuzi.

View attachment 1870438
IMG-20210727-WA0074.jpg
 
Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha.

Naomba ufafanuzi.

View attachment 1870438
Hili ni tapeli la kawaida kati ya wale manabii wa bandia ambao watapotosha wengi. Ni kati ya wale vihiyo walioogopa umande wakaamua kuchagua mambo yasiyohitaji elimu kama wahubiri wa mihadhara ili kujipatia riziki chafu. Wanaibia wengi hasa wajinga waliokata tamaa. Utasikia dokta so and so wakati hajui hata chumba cha shahada ya kwanza kikoje. Hawa ndiyo wale wezi wa mchana wanaotumia roho mtakatifu kutumikia roho mtakakitu.
 
Back
Top Bottom