mishahara ya wafanyakazi wa serikali haijulikani italipwa lini kwa mwezi huu, kisa ni mvutano kati ya serikali na chama cha wafanyakazi, sababu ni kuwa serikali inataka kumkata kila mfanyakazi sh 2000 kwa ajili ya sherehe za miaka 50 ya uhuru, jamani mbona mi hainiingii akilini, watu wanakatwa kodi bado mnataka wachangie na miaka hamsini ya uhuru? ipo siku tutaambiwa watu wakatwe kwa ajili ya birthday ya God knows who