Kwa hili serikali sijaielewa

mocky

New Member
Sep 11, 2011
3
1
mishahara ya wafanyakazi wa serikali haijulikani italipwa lini kwa mwezi huu, kisa ni mvutano kati ya serikali na chama cha wafanyakazi, sababu ni kuwa serikali inataka kumkata kila mfanyakazi sh 2000 kwa ajili ya sherehe za miaka 50 ya uhuru, jamani mbona mi hainiingii akilini, watu wanakatwa kodi bado mnataka wachangie na miaka hamsini ya uhuru? ipo siku tutaambiwa watu wakatwe kwa ajili ya birthday ya God knows who
 
alah kumbe ndiyo maana hawa washenzi wanasababisha tuna piga miayo tu!!? pumbavu sana!!
 
Wakachukue hata robo ya pesa za Jenerali Shimbo wakafanyie maadhimisho badala ya kuwachangisha wafanyakazi masikini.
 
jamani mnyonge nmyongeni lakini haki yake mpeni................50 yrs for 2000 kila mtu wat 4???
 
Bwana hili swala liwe tetesi au ni kweli serikali ikifanya huu upuuzi itakuwa inajipalia makaa ya moto kwani tutaanzisha mgomo nani stop, na safari hii tutunganisha nguvu kubwa wafanyakazi wote, wanafunzi wa vyuo na raia wa kawaida
 
nani kawapa ruhusa kukata hiuo hela..hii mijibwa koko inaudhi sana
 
Si afadhali ya hii miaka michache iliyopita tulikuwa tunakatwa hela ya mafuta ya Mwenge.
 
Inatisha, lakini nipe source ili nianze kuwatia hasira wafanyakazi wenzangu.
 
na wasiofanya kazi watakatwa nini? Mambo inatisha. Miaka hamsini ya nini wakati tuko gizani na maji safi ya bomba hamna.
 
Mbona mishahara imetoka banki tayari wakuu, hivyo sidhani kama hii tetesi ina ukweli! Serikali tusiibeze sana ina watu makini wanaoweza kuishauri, sidhani kama huu upuuzi unaweza kupitishwa kirahisi hivyo. Vile vile miaka 50 ya uhuru imekaa kisiasa zaidi na sioni tija yake zaidi ya kupoteza rasilimali zetu tu. Hivi kunz haja ya kuwaambia mke wangu mjamzito wakati tumbo ni la miezi 9? Sioni haja ya serikali kujisafisha wakati kila kitu kipo wazi!
 
Back
Top Bottom