Kwa hili Salva Rweyemamu unachemka na unastahili lawama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili Salva Rweyemamu unachemka na unastahili lawama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dullo, May 31, 2011.

 1. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salva Rweyemamu ukiwa kama mwandishi mkongwe hebu jaribu kuifanyia kazi website ya Mawasiliano Ikulu maana imekuwa aibu kwa watumiaji wa mitandao.

  Habari zinazopatikana humo ni mwaka 2009 hata kabla ya uchaguzi mkuu 2010.

  Mkuu ungejaribu kutafuta watu wenye utaalamu ili waweze kuwa wanafanya update kwa kila habari zinazohusiana na idara yako, kama inashindikana tafuta japo kampuni ili iweze kukufanyia kazi kwani kwa website sensitive kama ya ikulu inakuwa imelala utadhani haina mtu makini.

  Mkuu jaribu kulifanyia kazi hauri hili maana inatia aibu.
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  RED ALERT:
  Kwani Ikulu kuna mtu makini?
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Yeye mwenyewe hayajiupdate sembuse website
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Sipiyu ya computer yake haionyeshi rangi ya blue wakati wa kuzima.mgao wa umeme jamani kungekuwa na umeme angewaonyesha
   
 5. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mtoa mada, usishangae kwani huyo unayemweleza yeye mwenyewe si mtu makini, ni kuwadi wa kisiasa
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  yes, mapacha watatu - hawatang'oka hata mfanye nini
   
Loading...