Kwa hili sakata la Prof Assad na Ndugai naipongeza sana CCM

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Kwenye huu mtanziko wa bunge na CAG ,chama cha mapinduzi kinalichukua kwa umakini mkubwa sana kwa kuchunga kauli yake ,napongeza uongozi mzima wa ccm kwa utulivu huu,

Najua mnalifanyia ,kazi na mtatoka na kauli moja yenye kuleta mshikamano kwa watanzania na si kama wale ambao kila tukio hutumia kama mtaji wa kisiasa,

Suala la kila kiongozi kutoka na tamko lake hua na madhara , ,kwani kauli inaweza kua ni njema ila ikatafisiriwa kipotoshaji,na kua mbaya sana kwa chama na serikali mbele ya wananchi.

Kuna kundi linalazimisha viongozi mtoe tamko ili wapate pa kuanzishia mijadala mingine.na lazima kutakuwepo propaganda za upotoshaji

Najua mko katika vikao nyeti kwa lengo la kumaliza mtanziko huu kwa salama kabisa.na tuna matarajio chanya kwa hii issue.
Napongeza sekretarieti ya chama kwa kuwaonyesha watanzania ya kua ccm ni chama imara na kikongwe barani afrika.

Mwisho viongozi wa ccm kumbukeni mdomo uliponza kichwa,chungeni kauli zenu dhidi ya mahasimu wenu.

Nawatakia kazi njema
 
Kwenye huu mtanziko wa bunge na Cag ,chama cha mapinduzi kinalichukua kwa umakini mkubwa sana kwa kuchunga kauli yake ,napongeza uongozi mzima wa ccm kwa utulivu huu,

Ok, good idea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaviziwa,wakijichanganya tu imekula kwao

wametoka na barua ya kumtaka ajiuzuru ili fisiemu wapone..
AMEGOMA anasema mfukuzeni tu kama mnaweza
 
Kwenye huu mtanziko wa bunge na Cag ,chama cha mapinduzi kinalichukua kwa umakini mkubwa sana kwa kuchunga kauli yake ,napongeza uongozi mzima wa ccm kwa utulivu huu,

Kwani ile kamati ya Bunge iliyomtia hatiani CAG hujui ni ya watu gani? Ngoma imekuwa nzito na Supika kamwingiza JPM itabidi CCM watafute pakutokea bado wamepigwa ganzi hadi sasa!!!!!
 
Kwenye huu mtanziko wa bunge na Cag ,chama cha mapinduzi kinalichukua kwa umakini mkubwa sana kwa kuchunga kauli yake ,napongeza uongozi mzima wa ccm kwa utulivu huu,

Najua mnalifanyia ,kazi na mtatoka na kauli moja yenye kuleta mshikamano kwa watanzania na si kama wale ambao kila tukio hutumia kama mtaji wa kisiasa,

Suala la kila kiongozi kutoka na tamko lake hua na madhara , ,kwani kauli inaweza kua ni njema ila ikatafisiriwa kipotoshaji,na kua mbaya sana kwa chama na serikali mbele ya wananchi.

Kuna kundi linalazimisha viongozi mtoe tamko ili wapate pa kuanzishia mijadala mingine.na lazima kutakuwepo propaganda za upotoshaji

Najua mko katika vikao nyeti kwa lengo la kumaliza mtanziko huu kwa salama kabisa.na tuna matarajio chanya kwa hii issue.
Napongeza sekretarieti ya chama kwa kuwaonyesha watanzania ya kua ccm ni chama imara na kikongwe barani afrika.

Mwisho viongozi wa ccm kumbukeni mdomo uliponza kichwa,chungeni kauli zenu dhidi ya mahasimu wenu.

Nawatakia kazi njema
Sawa paid troll wa jiwe kichaaa

Wameshikwa pabaya.... Kiufupi wamekamatika ktk huu mtanziko wa Spika was Bunge na Nd, Assad au CAG himself.

Si CCM wala Magufuli wenye kufanya kitu hapa, zaidi ni kumpigia magoti CAG.

Masinema kama ya kikokotoo hapa yamekutana na kisiki cha Katiba...

Akili za kipiere Liquid... Hapa ndio mwisho.

So hakuna cha utulivu, ukisikia miti yote inateleza ndio hii,

Press ya Spika na Vyombo vya habari juzi ilikuwa na majibu tosha.

Elimu Elimu Elimu, labda wabunge Lusinde Kibajaji na Msukuma wanaweza kuwasaidia ktk hili wakishirikiana na Piere Liquid.

Pole pole kaelemewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upumbavu mwingine unauleta kutoka katika halmashauri ya kichwa chako.Kitendo cha bunge kupiga kura nyingi kusitisha kufanya kazi na CAG tayari hilo ni sawa na tamko la chama.hakuna jipya na inajulikana kuwa ccm wapo upande wa kumpinga CAG
Hicho ni chama makini,hakikurupuki,wale wengine ni matamko mpaka yamezoeleka ,action sifuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka wazi ushahidi hapa hadharani,hili ni jukwaa huru,

Bora umewaonya kwani ccm chini ya Magufuli walijipamba sana kama ni wazalendo, Ndugai akawaingiza mkenge wabunge wafuata upepo wa ccm. Bahati mbaya wananchi wamefahamu CAG ndio mzalendo wa kweli sio hao wezi wa kura. Kwasasa inabidi waje na tamko la kinafiki maana wanaona uchaguzi umekaribia na taswira iliyojengwa kuwaaminisha wananchi ccm ni mpya nayo inaanza kuharibika kwa kasi. CAG ashikilie hapohapo hakuna kuomba msamaha kwa muhuni yoyote, kuanzia kwa anayetuma mpaka anayetumwa.
 
Kwenye huu mtanziko wa bunge na CAG ,chama cha mapinduzi kinalichukua kwa umakini mkubwa sana kwa kuchunga kauli yake ,napongeza uongozi mzima wa ccm kwa utulivu huu,

Najua mnalifanyia ,kazi na mtatoka na kauli moja yenye kuleta mshikamano kwa watanzania na si kama wale ambao kila tukio hutumia kama mtaji wa kisiasa,

Suala la kila kiongozi kutoka na tamko lake hua na madhara , ,kwani kauli inaweza kua ni njema ila ikatafisiriwa kipotoshaji,na kua mbaya sana kwa chama na serikali mbele ya wananchi.

Kuna kundi linalazimisha viongozi mtoe tamko ili wapate pa kuanzishia mijadala mingine.na lazima kutakuwepo propaganda za upotoshaji

Najua mko katika vikao nyeti kwa lengo la kumaliza mtanziko huu kwa salama kabisa.na tuna matarajio chanya kwa hii issue.
Napongeza sekretarieti ya chama kwa kuwaonyesha watanzania ya kua ccm ni chama imara na kikongwe barani afrika.

Mwisho viongozi wa ccm kumbukeni mdomo uliponza kichwa,chungeni kauli zenu dhidi ya mahasimu wenu.

Nawatakia kazi njema
Utulivu wa kutuletea wajinga kina Pierre ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama gani makini wanakataa kufanya kazi na CAG halafu baadae wanajua wameharibu na wanabanwa na katiba inabidi tu wapokee report yake na kuifanyia kazi,shame!
Nazungumzia ccm,sizungumzii azimio la bunge
 
UVCCM ulishatoa msimamo wao kupitia Chairman wao.

Sasa sijui nn tutegemee toka kwao....
Kama ni hivyo,kwanini mnamchimba Bashiru,Polepole,na Mzee Mangula watoe tamko?,viongozi wa ccm sio poyoyo kama wale wa saccos ya ufipa.,kila.muda matamko,utekelezaji zero
 
Back
Top Bottom